Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza kwenye mkutano
Mkuu wa 8 wa kanisa la kiinjili na kilutheri Tanzania KKKT la mjini
Sumbawanga ambapo utafanyika uchaguzi Mkuu wa Kanisa hilo na kuzaa
Dayosisi mpya ya Ukanda wa Ziwa Tanganyika. Katika hotuba yake hiyo
aliwaasaviongozi na waumini wa kanisa hilo kuepukana na vitendo vya
rushwa katika kuweka uongozi kanisani hapo pamoja na kuepukana na mambo
maovu na machafu ikiwemo kudumisha amani ya nchi.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiimba moja ya wimbo wa
maubiri na Baba Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga
Askofu Damian Kiaruzi wakiwa miongoni mwa wageni waalikwa katika Mkutano
huo.
Kwaya ya Kanisa hilo.
Sehemu ya waumini na waalikwa katika Mkutano huo.
Picha ya pamoja.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akiagana na viongozi wa kanisa hilo na baadhi ya wageni waalikwa.
(Picha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)
No comments:
Post a Comment