Mkurugenzi
Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Bi.Mwanamvua Mrindoko
akimweleza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel(mwenyeshati Jeusi) Mpango wa kuendelea
kuwawezesha vijana katika halmashauri yake kwa Kutekeleza mipango
mbalimbali iliyowekwa ikiwamo kutoa mafunzo kwa vijana na kuongeza
bajeti hadi kufikia shilingi milioni 40 kutoka milioni 10 iliyokuwa
inatolewa hapo awali kwa mwaka wa fedha 2014-2015,wakati wa Ziara ya
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo kuangalia
shuguhuli mbalimbali za vijana zinazoratibiwa na Wilaya hiyo.
|
No comments:
Post a Comment