Maulid ya Hom yaliyosomwa na Vijana kutoka Mtendeni Mjini Unguja katika viwanja vya Mnazi mmoja jana, wakati wa Maulidi Matukufu ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume (SA.W.) yanayofanika kila mwaka Kitaifa na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali pamoja wananchi kutoa kila upende wa Nchi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] |
Baadhi ya Viongozi wa Srikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na mashekhe
waliohuduria katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.)
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya
Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) alipowasili
katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja palipofanyika Maulid hayo
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamo wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia) makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi,wakiwa katika Maulidi ya kuzaliwa
Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiteta jambo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana
katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakisimama kumswalia Mtume
(S.A.W.) wakati wa Maulidi ya Kusherehekea siku ya Kuzaliwa Bwana Mtume
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wake
wa Viongozi na wanawake kutoka madarasa na vyuo mbali wakiongozwa na
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wakiwa katika Viwanja vya
Mnazi mmoja Mjini Unguja katika Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtuyme
(S.A.W.).[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wanafunzi wa Madrasatul Muntaha Kalam kutoka kijiji cha Ukongoroni
Wilaya ya kati,wakisoma Yarabiswali wakati wa Maulidi ya Kusherehekea
siku ya Kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
Mjini Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wake
wa Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisimama kumswalia
Mtume (S.A.W.) wakati wa Maulidi ya Kusherehekea siku ya Kuzaliwa kwake
Mtume katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment