Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiongea
na wageni kutoka Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali inayoshughulika na
masuala ya afya Marie Stops Tanzania walipomtembelea Ofisini kwake wa
kwanza Kushoto ni Bi. Ulua Mura, Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu Bi.
Sihaba Nkinga na aliyevaa suti nyeusi ni Dr. Komwihangiro. (Picha
Benjamin Sawe wa WHVUM)
No comments:
Post a Comment