Makatibu
wa Bunge wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Afrika) wakiwa kwenye Mkutano
wa kamati ya Utendaji Jijini Dar es Salaam. Washiriki katika Kamati ya
Utendaji wanatoka katika nchi za Ghana, Uganda, Tanzania, Botswana,
Kenya, Afrika Kusini na Zanzibar.
Picha
ya pamoja ya Makatibu wa Bunge wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Afrika)
pamoja na maafisa waandamizi wakati wa Mkutano wa Kamati ya Utendaji
Jijini Dar es Salaam. Lengo la Mkutano huu ni kuandaa Mkutano Mkuu wa
Umoja wa Makatibu wa Bunge wa Jumuiya ya Madola (Afrika) utakaofanyika
nchini Kenya mwezi Juni, 2014. (Picha na Prosper Minja – Bunge)
No comments:
Post a Comment