Mbunge
wa Jimbo la Temeke Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akihutubia katika
mkutano wa Halmashauri Kuu ya Kata ya YOmbo Kilakala, leo, ambapo
aliwaambia kuwa hatolifumbia mamcho kulitokomeza kundi la vijana la
Mbwa Mwitu linalotishia usalama wa wananchi katika kata hiyo.Kutoka
kulia mstari wa mbele ni Diwani wa Viti Maalumu, Wilaya ya Temeke,
Mariam Mtemvu. Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Temeke, Rutami
Mabunu, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kilakala na Shomari Lyoto ambaye ni
Katibu wa Kata hiyo.
Kada wa CCM, Mwishehe Kilakala akijitambulisha katika mkutano huo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Yombo Kilakala wakiwa katika mkutano huo
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Yombo Kilakala, Peter Makoye akitoa taarifa ya
utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho. Kiasi kikubwa cha taarifa hiyo
ilikataliwa na wajumbe kwamba haikuwa ya kweli.
Camillius Haule ambaye ni Katibu wa Uenezi wa Mtaa wa Kiembe Samaki,
akielezea jinsi vijana wahalifu wanaoojiita Mbwa Mwiti wanavyotishia
usalama wa wananchi katika kata hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Mipango Kata ya Yombo Kilakala, Nasir Kinyogoli,
akielezea ubadhilifu wa fedha za Ukimwi na Vicoba katika Kata hiyo.
Asmah Zitiakielezea tatizo la walimu katika Shule ya Msingi Kigunga
kuwachapa viboko wanafunzi kwa kukosa fedha za kulipia Tuisheni.
Katibu
wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Kata ya Yombo Kilakala,FatumaMgendo
akielezea masikitiko kuhusu kitendo cha walimu wa Shule ya Msingi
kwachapa viboko wanafunzi kwa kukosa hela ya kulipia tuisheni.
No comments:
Post a Comment