OPARESHENI ya Polisi wa Mkoa wa Morogoro
na kikosi maalum cha kufichua Maovu cha Magazeti ya Global Publishers
(OFM), imemnasa mwanamke mjamzito katika kamatakamata ya machangudoa.
Katika
oparesheni hiyo ya aina yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita
katika eneo la Msamvu (Kambi ya Itigi), wanawake 30 waliodaiwa
kujihusisha na biashara hiyo walikamatwa.
Waandishi
wetu wakiwa na askari wa mkoa huo walimnasa mjamzito huyo anayedaiwa
kuwa na mimba ya miezi sita akiwa mawindoni eneo hilo.
Changudoa huyo mwenye mimba akiwa chini ya ulinzi.
Mara
baada ya mjazito huyo kukamatwa alitoa yake ya moyoni kwa kusema kwamba
anafanya biashara hiyo ili kupata fedha za kujikimu na ujauzito wake
haumpi shida yoyote.
“Jamani
natafuta pesa za kujikimu na maisha hapa mjini sasa mnatukamata tukale
wapi? Hii mimba ni yangu na ninayefanya ukahaba ni mimi niacheni,”
alisema mdad
No comments:
Post a Comment