Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitambulishwa kwa mshauri wa Ujenzi wa kampuni ya Hab Consult Bw.Habib
Nuru,Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt.Khalid
Salum,alipofika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja, kuweka
Jiwe la Msingi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mnara wa Kumbu
kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya
Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo
asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Wananchi
na wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba
yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wananchi
naa wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba
yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wafanyakazi wa ZSSF,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wafanyakazi wa ZSSF,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika
viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi,(kulia) Waziri
wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment