TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, March 10, 2012

MICHUANO YA KOMBE LA (NSSF) YAZINDULIWA RASMI LEO, MAMLUKI WA JAMBO LEO WAIBANJUA TBC 2-1

Nahodha wa timu ya Jambo Leo Mwishehe akimkabidhi zawadi ya majarida ya Jambo mgeni rasmi Mh. Gaudensia Kabaka Waziri wa Kazi na Ajira mara baada ya kuzindua rasmi mashindano ya kombe la NSSF kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam leo asubuhi. Katika mchezo wa soka auliokutanisha timu za Jambo Leo na TBC timu ya Jambo Leo ambao ndiyo mabingwa watetezi wa kombe hilo wameibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya TBC hivyo kuanza vyema utetezi wa kubaki na kombe hilo.
Wachezaji wa TBC na Jambo Leo wakichuana vikali katika mchezo huo kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe.
Timu zikisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Kwa upande wa Netboli timu za IPP na Mwananchi Communication zikichuana vikali hata hivyo IPP wamekuwa washindi baada ya kuikandamiza timu ya Mwananchi magoli 16-12 na kuibuka na ushindi.
Kikosi cha timu ya TBC kikiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Jambo Leo kikiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment