TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, March 19, 2015

MAADHIMISHO WIKI YA MAJI , MPIJI MAGOHE WATOA ARDHI BILA FIDIA KUPATA UMEME WA UHAKIKIA KWENYE CHANZO CHA MAJI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki  na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji  katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea mkoani Dar es salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mpiji Magohe Kata ya Mbezi, manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji hicho leo.
Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika akizungumza na wakijiji cha Mpiji Magohe Kata ya Mbezi, manispaa ya Kinondoni jijini Dar essalaam mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji hicho leo.  Photo/Aron Msigwa -MAELEZO.
 ===================================================
 
No comments:

Post a Comment