Chuo
cha Uhandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College,
kinafanya Sherehe za Mahafali ya 12 ya wahitimu wa Intake November 2012,
Intake September 2012, Intake Julai 2012, Intake Aprili 2012,
Intake Saptember 2013, Intake June 2013, Intake Aprili 2013, na Intake January 2013.
Mahafali
hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Dar es Salaam, Makao Makuu
ya Chuo, Dar es Salaam City College, Kibamba Jijini Dar es Salaam,
tarehe 27 Mwezi huu wa Saba(27/7/2013) kuanzia majira ya saa Sita
Mchana.
Wanafunzi wote wa Chuo na Wengine Mnataarifiwa(Mnakaribishwa) kuhudhulia kwenye Hafla hiyo kwa ajili ya kuwaunga(Kuungana)
Pamoja
katika kusherehekea siku hiyo nzuri na yenye Furaha kwa Wahitimu wote
wa Kozi zilizopita ikiwa ni pamoja na Kuungana na Familia za Wapendwa
Wazazi wa Wahitimu wote katika Sherehe za Mahafali haya ya 12 katika
Chuo Hiki.
WOTE MNAKARIBISHWA SANA: kumbuka kufika kwako ndiyo mafanikio ya Hafla na Mahafali haya.
Tunatanguliza Shukrani Zetu za Dhati kwako.
kwani utafika Bila Kukosa.
Asante.
Mkurugenzi
wa Chuo cha DACICO, Idrisa Mziray(kati) na Mheshimiwa Idd Azan(mb)
wakiongoza Safari ya Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College.
IMETOLEWA NA:-
VEDASTO FAUSTINE
MALIMA
DIRECTOR OF STUDY
AND PROGRAMS
No comments:
Post a Comment