Posted: 04 Sep 2015 10:40 AM PDT
Mkurugenzi
wa Mwanahalisi Publisher, Saed Kubenea akionesha magazeti ya
Mwanahalisi katika moja ya mikutano aliyofanya na wanahabari. Picha ya
Maktaba
================================================================Na Florence Majani
Dar
es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa
ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa
Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu
la kukifungia chombo hicho cha habari.
Gazeti
la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara kwa
kutumia mamlaka aliyopewa na Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976.
Akitangaza
kulifungia gazeti hilo mwaka 2012, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(Maelezo), Fabian Rugaimukamu alisema kuwa gazeti hilo limefungiwa kwa
sababu limekuwa na mwenendo wa kuandika habari na makala za uchochezi na
zinazojenga hofu kwa wananchi.
Wakili
wa Kampuni ya Hali Halisi Publisher , Rugemaleza Mashamala amesema
ingawa hawajapewa hukumu mkononi lakini kutokana na ushindi waliopewa
na mahakama ni halali na wana haki ya kuendelea na uchapishaji.
Hata
hivyo alisema ni lazima upande wa serikali waone uamuzi wa kimaandishi
uliotolewa ili kujiridhisha na kuendelea na taratibu nyingine.
CHANZO:MWANANCHI |
MAMA SAMIA KATIKA JIMBO LA KIBAMBA LEO
Posted: 04 Sep 2015 10:17 AM PDT
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama
Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni,
Dar es Salaam.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia
wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye
Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari
kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre,
jimbo la Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Kulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto
ni Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela
Mkangara.
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya
Kinondoni, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akishangaa umati
wa wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la
Kibamba, wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM uliofanyika katika wilaya hiyo leo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Lina Sanga akionyesha manjonjo yake
alipotumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre, Dar es
Salaam, leo
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda akiwahutubia wananchi
katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John
Magufuli, uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la
Kibamba wilayani humo.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Angela kairuki, akihutubia umati wa
wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya
Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimwelekeza
jambo, Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre jimbo la Kibamba
Dar es Salaam. Kushoto ni Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba Dk. Fenela
Mkangara
Wasanii wa bendi ya Yamoto, wakishambulia jukwaa, wakati wa mkutano wa
kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika
mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi
Centre, Kibamba jijini Dar es Salaam
Mama Salia akiwatuza wasanii wa bendi hiyo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani
akihutuba mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mbezi
Centre, jimbo la Kibamba Dar es Salaam
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi
mgombea Ubunge jimbo la Kibamba, Dk. Fenella Mkangara katika mkutano wa
kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimboni humo
leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
|
Posted: 04 Sep 2015 09:22 AM PDT
Katibu
Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew
Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi
Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa
katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa
kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika
soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe na Ofisa
Uhusiano, Roida Andusamile.
Katibu
Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew,
akiwaonesha wanahabari Solar Power panels zinazotakiwa kuwa kwenye soko
ambazo ni bora.
Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile (kushoto), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Shirika la Viwango
Tanzania (TBS), Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu shirika hilo
kuanza msako mkali wa kuwabaini wafanyabiashara wanaouza Umeme Nuru
(Solar Power Panels), zilizochini ya kiwango. Kulia ni Ofisa Viwango wa
TBS, Henry Massawe na Ofisa Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi.
Ofisa
Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi akisisitiza jambo wakati
akizungumza na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa
TBS, Gladness Kaseka,Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu
(TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi, Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida
Andusamile.
Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye mkutano huo.
SHIRIKA
la viwango Tanzania limekuwa likifanya ukaguziwa kushtukiza wa bidhaa
zilizopo sokoni na viwandani mara kwa mara, lengo likiwa niku hakikisha
kuwa bidhaa hizo zinakidhi matakwa ya kiwangocha bidhaa husika wakatiwote.
TBS
kwakushirikiana naTaasisya NishatiJadididu (TAREA) iliamua kufanya
ukaguzi wa kushtukiza kufuatia malalamiko mengi kuhusiana na ubora
waVipande vyaumemenuru katika soko la Tanzania ilikutatuatatizo. Mnamo
tarehe 23-06-2015, TBS ilifanya ukaguzi wa Umeme Nuru (Solar Power
panels) katika maeneo yafuatayo; Keko- Mwanga, MtaawaMsimbazi, Mtaawa
Congo.
TBS ilibaini baadhi ya wasambazaji walikuwa na bidhaa za umemenuru zilizo chini ya kiwangonyingizikitokeanchini China.
Jumla
ya vipande vya umemenuru 1321 kutokaduka na ghala la Regal Solar Ltd
vilizuiwa kuuzwa; na 164 kutoka duka la Nishati Electronics Ltd pia
vilizuiwa kuuzwa baada ya ubora wake kutiliwa shaka mpaka matokeo ya
maabara yatakapotoka. Na vile vile wakaguzi walichukua sampuli
kutokaduka la Keoali Power & EquipmentsCo.Ltd.
Matokeo ya maabara yalitoka na kuonesha kuwasampuli hizo zilizochukuli wakati kama duka tajwa zimefeli.
1.
Vipande vya Umeme Nuru vinazosambazwa na Regal Solar Ltd vimefeli
kufikia kiwango cha“marking and name plate”, kwa mfano hazijaonyesha
nchi zinapotengenezewa,ainaya panel naserial namba; kipimo cha nguvu ya
umeme inayotoka ni ndogo ukilinganishanakiwango cha chini cha nguvu ya
umeme inayotakiwa kutoka, na hii ni kwa vipande vya umemenuru vilivyo
na nguvu zifuatazo: 100W, 120W,70W,50W,20W,250W,30W,150W na 170W.
2.
Vipandevya Umeme Nuru vya Nishati Electronics Ltd
vimefelikufikiakiwango cha “marking and name plate”,- havijaonyesha nchi
zinapotengenezwa kipimo cha nguvu ya umeme
inayotokanindogoukilinganishan
3.
Keoali Power &EquipmentsCo.Ltd vipande vya umeme nuru
vimeonyesha kufeli “marking and name plate
havikuoneshanchizilipotengenez
Tamko
la Shirika TBS inatoatamko kuwa zoezi hili niendelevu na iwapo
msambazaji atabainika kukiuka na kuingiza bidhaa chini ya kiwango cha
Afrika Mashariki EAS364:2005, Shirika litachukua hatua kali zakisheria.
Tunawasihi
wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za vipandevya umemenuru
kuziondoa madukani mara moja kablaShirika halijaanza zoezi hilo.
Kushindwa
kufanya hivyo kutasababisha hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi
yao pindi bidhaa hizo hafifu zitakapokutwa madukani.
Vile
vile tunapenda kuwafahamisha kuwa zoezi la kuondoa bidhaa hafifu sokoni
ikiwa pamoja na nguo za ndani,vilainishi vya mitambo,juisi (
ready
to drink) na mikate ya naendelea. Wananchi wasisite kuwasiliana nasi
kupiti nanamba 0800 110 827 kwa kutumia mitandao ya TTCL na Vodacom bila
gharama yoyote.
|
Posted: 04 Sep 2015 09:03 AM PDT
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa
Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika
hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si
kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi
zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta
maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya
washiriki unalengo la kutoa elimu pamoja na kuhamasisha umma kuhusu
utoaji wa taarifa kwa uwazi katika sehemu mbalimbali barani Afrika
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akitoa hotuba yake kabla ya
kumkaribisha Rais Jakaya Kikwete (kulia meza kuu) katika Mkutano wa
Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, ili aweze
kuufungua mkutano huo. Katika hotuba yake Waziri Chikawe alisema mfumo
wa utoaji taarifa kwa uwazi umekuwa muhimu kwani unaleta uwazi pamoja na
uwajibikaji katika utoaji wa huduma. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na
mamia ya washiriki kutoka nchi 23 Afrika, unalengo la kutoa elimu pamoja
na kuhamasisha umma kuhusu utoaji wa taarifa kwa uwazi katika sehemu
mbalimbali barani Afrika. Wapili kulia meza kuu, Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia nchini, Bella Bird. Anayefuata ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni
Sefue.
Sehemu
ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani
Afrika wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani) kwa makini
wakati akitoa hotuba yake katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete
alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali
hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali
zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika.
Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya washiriki kutoka nchi 23
barani Afrika unalengo la kutoa elimu pamoja na kuhamasisha umma kuhusu
utoaji wa taarifa kwa uwazi katika sehemu mbalimbali barani humo.
Mkurugenzi
wa Benki ya Dunia nchini, Bella Bird akitoa hotuba yake katika Mkutano
wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika unaofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya washiriki kutoka nchi 23
Afrika, unalengo la kutoa elimu pamoja na kuhamasisha umma kuhusu utoaji
wa taarifa kwa uwazi katika sehemu mbalimbali barani Afrika. Wenyeji wa
mkutano huo ni Serikali ya Tanzania wakishirikiana na Benki ya Dunia.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa ameshika ndege ambayo inapaa bila rubani (Drone)
na yenye uwezo wa kuchukua matukio mbalimbali ikiwa angani, wakati
alipotembelea Banda la Buni Hub ambalo lipo chini ya Tume ya Taifa ya
Sayansi na Teknolojia, mara baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa
Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni
Mtaalamu wa Benki ya Dunia, Frederick Mbuya akitoa elimu ya ndege hiyo
kwa Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
(kulia kwa Rais Kikwete) pamoja na viongozi wengine walioambatana na
Rais huyo.
Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
SPEECH BY HIS EXCELLENCY DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC
OF TANZANIA DURING OPENING OF AFRICA OPEN
DATA CONFERENCE HELD AT JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE,
DAR ES SALAAM 4TH SEPTEMBER, 2015
Honorable Saada Mkuya, Minister for Finance;Honorable Mathias Chikawe, Minister for Home Affairs;Honorable Celina Kombani, Minister forPublic Service Management;Ambassador Ombeni Sefue, Chief Secretary;Your Excellencies Ambassadors;Permanent Secretaries, Deputy Permanent Secretaries;World Band Country Director for Tanzania,Uganda, and Burundi;Head of International Organizations based in Tanzania;Representatives from CSO and Private Sector;The Media;Members from Mass Media;
Distinguished Delegates;Ladies and Gentlemen.
I
am pleased to get the opportunity to grace the first ever Open Data
Africa Conference in the history of our dear continent. The fact that
it’s the first ever, conference signifies the dawn of a new era in
Africa’s transformation towards knowledge based development. It gives me
great pride that my country has been chosen to host this first
conference. To us, it is a gesture of acknowledgment and appreciation
for the strides we are making to embrace openness in governance through
open data. I thank the organizers for the trust you have reposed on my
country. In a special way, I thank the World Bank for partnering with us
in the preparations of this conference.
I
thank you Honourable Mathias Chikawe, Minister for Home Affairs for
your introductory remarks. I commend you and your team for the excellent
facilitation of this conference. Please continue to do the good work so
that all delegations stay happy and the conference concludes
successfully. I am told delegates come from governments, civil society,
academia and business from 30 countries in Africa and development
partners. Such a good response reflects the growing interest on open
data agenda across the continent. It goes without saying that, this
conference will spur more interest and make future conferences be even
more successful.
Theme of the Conference
Ladies and gentlemen;
I commend the organizers for choosing a very opportune theme for this
conference namely “Developing Africa Through Open Data”. I totally
subscribe to the idea that data is an important tool for development. No
successful and meaningful development will take place without the use
of data. Data assists us with the diagnosis of the social and economic
challenges, informs policy choices and decisions and helps us with
monitoring and evaluation of progress and impact. Much as data does not
in itself, change the world, it is also true however that it makes
change possible.
Information
technology has revolutionalized the way we collect, use and make sense
of data. I has made data open. The impact of open data has been immense
in all walks of life. There is hardly anyone today who has not
benefited directly or indirectly from data being open. Open data has
freed science, spurred innovations and making collaboration across
countries and continent in solving global challenges possible. It has
brought together the researchers, policy makers, financiers, private
sector and civil society across the world to work together to find
solutions to world’s challenges in a manner that has never been seen
before.
Africa
has not been spared by this development. As a matter of fact we have no
choice but to join everybody else on this planet. We cannot honestly
speak of developing Africa today without improving on ways we source,
process and make use of data. More importantly, we must transform ways
we manage data by increasingly making public data open and shared. In
that way we will enable decision makers to make informed decisions. We
will also empower the public to use data to hold the public officials
accountable. In that way we will enhance good governance and take Africa
to the next level.
Challenges of Open Data in Africa
Ladies and gentlemen;
One
teething challenge you will find across African governments today is
the lack of quality data. This has made planning, policy making and
policy execution become a challenge. As a result, a number of policies
and interventions have failed to produce intended impact. It has all
been a source of wastage of valuable resources and loss of opportunities
to solve development challenges.
It
is evident, therefore, that there exist in Africa a disturbing
relationship between underdevelopment and underutilization of quality
data (and the vice versa). In many cases, this has been a function of
lack of capacity on the part of responsible government institutions to
collect, process and store data. In many of our countries, budgetary
constraints, poor infrastructure and lack of qualified human capital
have been responsible for this sad state of affairs. At times also
administrative and policy oversight or shortsightened on the importance
of data are to blame. In some ways legal and institutional systems have
played a part in restricting access and sharing of data within and among
various institutions.
There
is a need, therefore, for African governments to explore ways and means
to promote open data in their countries. There is need to undertake
requisite reforms in some aspects of governance to support open data.
Open Data strives best where there is transparency, rule of law, and
freedom of expression to mention but a few. There is a need also to
strengthen national institutions responsible for data management such as
bureau of statistics so that stakeholder’s demand for credible,
reliable and timely data can be met.
Open Data Beyond Governments
Ladies and gentlemen;
It gives me much comfort that this Conference will discuss among many issues the role of
the private sector in the open data agenda. You should consider
including the civil society as well. For quite a long time, the issue of
openness of data was seen as a matter of the government and public
institutions alone. The private sector and civil society organizations
are not only consumers of data but also important sources of data. It is
about time that the demand for transparency on the side of the private
sector is also heard and honoured. As governments making their data open
such as revenues and expenditures; the private sector too has a share
of responsibility to open their data as well, regarding revenues, tax
payments and profits.
The
demand for transparency in private sector is not alien neither is it
new. We are already witnessing this in the extractive industries under
the Extractive Industry Transparency Initiative (EITI). It is working so
well in increasing transparency and accountability on the part of both
governments and investors. Now, time has come to do the same with other
sectors of the economy and other players whose work impacts the lives of
the general public. That information is vital for the governments and
the people to enhance governance and management of the economy.
Open Data and Data Sovereignty
Ladies and gentlemen;
African
governments are also grappling with the dilemma between promoting open
data on one hand and maintaining data sovereignty on the other. The
challenge has always been about where to strike a balance between the
two. It must be understood that open data does not and should not mean
absolute freedom to produce, access and publish data. I subscribe to the
view that, open data should not in any way jeopardize national security
rather it should enhance it. It is my considerable opinion that data
relating to national security issues should not be made public for
obvious reasons.
Approaches
to open data must, therefore, answer the following important questions:
To whom the data is opened to? Which data should be made open? Why
should data be open? When should data be open? And how should data be
made open? Indeed, open data and data sovereignty can co-exist, and
should co-exist. It is up to us to strike that delicate balance to avoid
unnecessary contradictions. It requires the understanding and
cooperation of all stakeholders.
Tanzania’s Experience with Open Data
Ladies and gentlemen; Tanzania
embraces open data and sees in it an opportunity to consolidate and
entrench democracy and good governance. We have taken measures and
initiatives to promote transparency and accountability through open
data. For that reasons we voluntarily joined international initiatives
geared to promote open data, transparency and accountability such as
Open Government Partnership (OGP), Extractive Industry Transparency
Initiative (EITI) and African Peer Review Mechanism (APRM).
We
publish citizens’ budget to enhance public understanding of the
government budget, and reports of the Controller and Auditor General
(CAG) are published and made public for every Tanzanian to see. They are
also debated in Parliament. As you know Parliament sessions are
broadcast live on television. Over and above that, in line with our
commitment to OGP, we have put in place a government portal with
information and guidance about: how one can get public services; acts
and legislation; regulations; policies; speeches and other important
government information.
In
our resolve to improve government’s service delivery, we introduced the
famous ‘Big Results Now’ model. This is a system of improving on the
way we decide on priority areas of action, monitor, implementation and
enhance accountability on the part of ministries, government agencies
and officials. In this regard we chose water; energy; transport;
agriculture; education; resource mobilization; health and strengthening
of the business environment as key priorities. Through this system
government implementing agencies act in an open manner, made data open
thus empowering the public to be informed and able to track the progress
and put the duty bearers to task. Therefore open data has been an
embedded part of the BRN process with the data in those priority areas
being made public.
Our
experience has taught us that, open data must be backed and supported
with a facilitative legal regime to guarantee access and effective use
of the open data. For that reason, we have enacted the Statistics Act of
2015 that has empowered the National Bureau of Statistics (NBS) as a
sole autonomous body, with powers to direct Ministerial Departments and
Agencies to adhere to the principles and standard of production of
quality data. To complement the open data, we have initiated a process
to enact the Freedom of Information Act, on which the draft has already
been presented to Parliament.
Tanzania’s Commitment
Ladies and gentlemen;
Tanzania
shall continue to support and live up to her commitment on open data.
In January 2015, we endorsed the Guidelines for Open Data in Tanzania.
The guidelines serve as a tool for Ministries, Government Departments
and Agencies to provide data to the Open Data Government Portal. We are
also in the process of coming up with the Open Data Policy that will put
in place procedures for identifying government open data, institutional
framework for open data management, establish one window where the
public can access to data, and put in place procedures of uploading and
updating data. This way we will enhance for public access to government
data in a friendly manner that allows the use and re-use of data for
socio-economic development. Ultimately our intention is to enact an Open
Data Act.
These
and many other steps we have taken speak volumes about our resolve to
uphold open data. For us, open data is the way to go if we are to
transform our country from Least Developed Country to a Middle Income
Country, and ultimately to become an advanced economy. We are looking at
the future of open data in Tanzania with much optimism. There is no
reason or intentions of back tracking. You can count on us.
Conclusion
Ladies and gentlemen;
There
is no doubt that Africa needs to embrace open data in her development
agenda. It is an idea whose time has come. It is the way to go about
achieving Africa’s Vision 2063 of “an integrated, prosperous and
peaceful Africa, driven by its own citizens and representing a dynamic
force in global arena”. Indeed, the road towards achieving open data
will not be without difficulties or challenges. However, it is the best
way forward to a better Africa. Africa where democracy, good governments
and development reign. I believe the rewards of open data far outweigh
the costs.
I
vest a lot of hope on this Conference. I believe it will provide a
useful platform for African governments, private sector and civil
society to create an understanding on how best we can approach open data
in the African context. I am glad that, this conference will be the
beginning of annual African Open Data Conferences in future. Tanzania
pledges support and participation in the coming future conferences for
they provide an avenue to share experiences and best practices. With
these many words, I therefore wish you successful discussions and
deliberations.
I now declare the first African Open Data Conference officially open.
I thank you all for listening!
Asanteni sana!
|
Posted: 04 Sep 2015 09:00 AM PDT
Mkuu
wa Maabara ya Mikrobilojia wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini
(TFDA)Dk. Adelard Mtenga akitoa maelekezo juu ya kifaa maalum cha
uchunguzi wa Vifaa tiba ikiwemo nyuzi za ushonaji pamoja na dawa za
sindano ambapo ni kifaa cha kwanza Katika Nchi za Kusini ,Mashariki
na Kati Barani Afrika. leo Jiji Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Hiiti Sillo akikata utepe kufungua
mtambo huo leo Jiji Dar es Salaam. Katiti ni mwakilishi mkazi wa Wizara
ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk. Mohammed Ally Mohammed kuli ni
Mwakilishi wa Shirika la Msaada kutoka Marekani,Ms. Kelly Hamblin.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Hiiti akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Mwakilishi
wa Shirika la Msaada kutoka Marekani,Ms. Kelly Hamblin akifafanua
jambokwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Hiiti Sillo na Mwakilishi wa
Shirika la Msaada kutoka Marekani,Ms. Kelly Hamblin wakisani
makabidhiano ya nyaraka za mradi huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Hiiti Sillo na Mwakilishi wa
Shirika la Msaada kutoka Marekani,Ms. Kelly Hamblin wakisani
makabidhiano ya nyaraka za mradi huo.
Wanahabari wakichukua matukio kwenye hafla hiyo.
Viongozi hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla hiyo.Picha na Emmanuel Massaka.
MAMLAKA
ya Chakula na Dawa Nchini(TFDA) imezindua jengo la maabara ambalo
litatumika kufanya uchunguzi wa madawa vyakula na vipodozi ili kubaini
baadhi ya vijidudu hatarishi kwa afya ya binadamu.
Hayo
yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula
na Dawa Nchini(TFDA) Bw. Hiiti Sillo wakati akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya uzinduzi na makabidhiano ya Maabara hiyo.
Alisema
kuwa Dawa zinazofanyiwa uchunguzi ni zile zinazoingia moja kwa moja
kwenye mwili wa binadamu,ili kuhakiki kuwa ziko salama na hazina
chembechembe yoyote ya wadudu wenye kudhuru afya za binadamu.
“Kifaa
hiki kitasaidia kufanya uchunguzi kwa kiwango cha kimataifa na pia
hakitaruhusu chembechembe yoyote kupita kwenye dawa na kuathiri afya ya
binadamu”alisema.
Naye
Mkurugenzi wa uhakiki wa Ubora wa huduma ya afya kutoka Wizara ya afya
na Ustawi wa Jamii Daktari Mohamed Mohamed amesema kuwa maabara hiyo
inahitaji uangalizi wa kutosha ili kutunza vifaa katika maabara pamoja
na kutoa elimu kwa wataalamu wa maabara hiyo.
|
TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, September 5, 2015
MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment