TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, September 21, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea makombe toka kwa Balozi wa Heshima wa Tanzania huko California Mhe Ahmed Issa kama pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka Watanzania kutoka Atlanta  kama pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington.

YANGA SC, STEND UNITED, POLISI MORO ZAHENYESHWA UFUNGUZI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014/2015 KWA KUDONDOKEA PUA.

KLABU za Yanga, Polisi Moro, Stend United na Kagrera Sugar zimeambulia vipigo tofauti katika michezo ya ufunguzi wa ligi kuu Tanzania msimu wa 2014/2015.

Yanga ilipoteza mchezo wake dhidi ya Mtibwa Sugar uwanja wa Jamhuri kwa kufungwa bao 2-0 huku Ndanda FC ikiisambaratisha Stend United uwanja wake wa nyumbani Shinyanga kwa kuhenyesha kwa kupata ushindi wa bao 4-1 wakati Polisi Moro SC nayo ilikiona cha mtema kuni mbele ya Azam FC kwa bao 3-1 jijini Dar es Salaam.

Mbeya City ilishindwa kuitumia vema uwanja wa Sokoine mbele ya JKT Ruvu kwa kumalizika mchezo kwa sare tasa ya 0-0 wakati Mgambo ilifanikiwa kuifumua Kagera Sugar kwa bao 1-0 mkoani Tanga na Prinson ikaizabua JKT Shooting kwa kuilaza bao 2-1 katika uwanaj wa Mabatini mkoani Pwani.

TANZIA

Familia ya aliekua mwanamuziki wa bendi za super matimila na tanzania one theatre TOT Fredy Mwalasha inasikitika kutangaza cha baba yaompendwa Fredy Mwalasha kilichotokea saa 5 asubuhi ya leo tarehe 19/9/2014,mazishi yanatarajia kufanyika mkoani morogoro mara baada ya mwili kuwasili...

WAKAZI WA IRINGA WABURUDIKA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA 2014 NDANI YA UWANJA WA SAMORA.

 Wasanii wa muziki wa Bongofleva Ommy Dimpo na Vanessa Mdee a.k.a Vmoney wakilishambulia jukwaa kwa pamoja mbele ya umati wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014  lililofanyika jana ndani ya uwanja wa Samora mkoani Iringa,huku miluzi na shangwe zikisikika kila kona ya uwanja.Tamasha la Fiesta linatarajiwa kufanyika kesho mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri ambapo wasanii mbalimbali wa bongofleva watatumbuiza.
Baadhi ya Mashabiki wakishangqweka.
 Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva,Selemani Msindi a.k.a Afande Sele Mfalme wa Rhymes,akiimba kwa hisia kubwa juu ya jukwaa la tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika jana ndani ya uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza kwenye tamasha hilo la Fiesta 2014 ndani ya Samora mjini Iringa hapo jana.
Anajiita Rais wa Manzese,jina lake la kisanii anajiita Madee kutoka kundi la TIP TOP CONECTIONs,akiimba mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Iringa waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Samora hapo jana.Tamasha la Fiesta kesho linatarajiwa kufanyika ndani ya uwanja wa jamuhuri mkoani Morogoro.
Wakazi wa mji wa Iringa waliojitokeza ndani ya tamasha la Fiesta wakishangweka kwa raha zao.

WAREMBO TANZANIA WATOA MSAADA HOSPITALI YA KILEMA NA MARANGU MOSHI

Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.
 Mwakilishi wa Kanda ya Ziwa katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Dorine Robert akimpa zawadi ya chandarua mgonjwa Jamila Msafiri aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa msaaada mbalimbali ya kijamii hospitalini hapo.
 Warembo waiangalia watoto
 picha ya pamoja ya warembo na wenyeji Hospitali ya Kilema Moshi.
 Hapa ni Hospitali ya KKKT Marangu.
 Mpigapicha wa True Vision John Lymo akiwajibika kwa kuakama taswira za warembo.
Baada ya hapo warembo na viongozi walishirikki chakula cha mchana nyumbani kwa Naibu Kamanda wa UVCCM Moshi Vijijini, Innocent Shirima Melleck.

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIZIPIGA NA YUSUPH MNYETO KATIKA KAMBI YA ILALA AMANA

 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam  .
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam .
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam .
Bondia Yusuph Mnyeto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class ' King Class Mawe' baada ya kumaliza kupigana katika mazoezi yanayoendelea kwenye kambi ya Ilala Dar es salaam
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katikati akijazwa katika fomu uku akiulizwa maswali mbalimbali kuhusu upimaji VVU UKIMWI wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima kwa hiali
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' baada ya kupima vvu ukimwi wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima afya zao jana
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia na Mikidadi Boika  wakati wa kampeni ya kupima vvu ukimwi iliyokuwa ikifanyika magomeni kagera Dar es salaam 

YANGA vs MTIBWA SUGAR WALIVYOKUWA WANAJIFUA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KABLA YA MPAMBANO.


 




Wakati ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza katika Msimu huu wa mwaka 2014, Timu kubwa Kubwa kama yanga na simba, zilizokuwa zinatesa miaka ya nyuma zimeanza kuonekana si kitu wakati Yanga ilipoanza Vibaya kwa Kuchapwa kipigo cha Mabao 2-0 kutoka kwa Timu ya Mtibwa ya Turiani Morogoro., Pichani ni Wachezaji wa Timu ya Yanga ambayo ilikuwa kwenye wakati mgumu wakati wa kusaka Pointi tatu.

MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA AKON AMTEMBELEA RAIS WA KENYA IKULU

Today, I held a meeting with U.S -based Senegalese musician, Akon, who paid me a courtesy call at State House, Nairobi. Akon affirmed his commitment to supportGovernment’s initiative to light up Kibera and other selected parts of rural Kenya. This is part of his Lighting Africa project that aims to provide electricity to a million households across the continent by the end of the year. It is good to see that discussions on scaling up supply of power to Kenyans that we started during last month’s U.S – Africa Leaders’ Summit in Washington, DC are bearing fruits. I commend Akon for being a role model to African youths and I would like to encourage others to emulate him by investing back in their mother countries. We welcome this initiative and we will give him all the support he needs.