TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, December 28, 2015

Watu wawili wauawa Mandera

CCM: Jiwekeni tayari kwa uchaguzi Zanzibar

Japan yakubali fidia kwa watumwa wa ngono

Watumwa
Image copyrightAFP
Image captionWanaharakati wa kutetea wanawake hao waliweka sanamu ya msichana waliyoiita "Sanamu ya Amani" nje ya ubalozi wa Japan Seoul mwaka 2011
Japan na Korea Kusini zimefikia makubaliano ya kihistoria kuhusu wanawake waliolazimishwa kuhudumu katika madanguro kama watumwa wa ngono wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Japan imeomba msamaha na kukubali kulipa yen 1bn ($8.3m, £5.6m) ambazo zitawekwa kwenye hazina ya waathiriwa itakayosimamiwa na Korea Kusini.
Mzozo huo umeathiri uhusiano kati ya mataifa hayo mawili, Korea Kusini ikitaka kuombwa msamaha “kwa dhati” na kutolewa kwa fidia kwa waathiriwa.

Volcanoes are among one of the most beautiful natural wonders known to our planet, as well as one of the most destructive and dangerous.


Volcanoes are among one of the most beautiful natural wonders known to our planet, as well as one of the most destructive and dangerous. A volcano is created when the edges of two tectonic plates push up against each other and rise up above the surface, forming a cone-shaped structure. When a volcano erupts, a substance called magma rises up from the volcanic chamber and through the mouth of the volcano, spilling out over the sides as the fiery red liquid known as lava. There is so much to do on a volcanic site, from hiking to climbing, rafting in the springs and so much more. Read on to discover the top 7 volcanic destinations. Remember to place your vote in the competition!

BREAKING NEWS-MSAFARA WA WAZIRI Prof MUHONGO WAPATA AJALI KAGERA.

One convoy of cars crash for minerals and energy minister Prof Muhongo Sospter in Kyerwa district of Kagera region today of 28th,December 2015 
"moja ya magari ya msafara wa waziri wa nishati na madini Prof Sospter Muhongo lenye namba za usajili ....limepata ajali katika wilaya ya Kyerwa Kagera.Hata hivyo waliokuwa kwenye gari hilo wako salama,ni kijiji cha Kigorogoro kata ya Kibare wilayani Kyerwa"

RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO

SERIKALI YAKANUSHA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

MAADAMANO YA WACHIMBAJI WADOGO YAANDALIWA

KOFFI Olomide, na KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’.Kufungua Mwaka Dar Live.

NATHAN MPANGALA MCHORA VIBONZO ATOA WITO KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

ARUSHA TOURISM MARATHON LUCIAN NA FABIAN JOSEPH WATAMBA

WAHADHIRI WA UDSM WAWAPA WATOTO FURAHA 'GET TOGETHER'

SERIKALI ZA VIJIJI WAPATA MAFUNZO YA URAGHABISHI

RUFIJI- YANUFAIKA NA HUDUMA ZA TIGO “MRADI WA KUWAUNGANISHA WANAWAKE”

TATIZO LA MIGOGORO KWA WAWEKEZAJI KATIKA MIGODI NI KUKOSA USHIRIKIANO NA WAKAZI WA MAENEO.

HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR(NEC) KUPITIA KAMATI MAALUM, IMEFANYA MKUTANO WA SIKU MOJA

KUPATANA WAUAGA MWAKA KWA KUKUTANA PAMOJA NA WADAU WAO

AZAM FC YAIFUNGA KAGERA SUGAR 2-0

MDAU EDWINI MJWAHUZI AUKACHA RASMI UKAPERA