TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 22, 2012

Warembo wakifurahia Mbege, Kiburudisho Murua kwa Kabila la Kichaga, kwenye Tamasha la CHAGGA DAY 2013, katika Ukumbi wa Zumba Land, mjini Moshi jana

 Warembo wakiwa katika Muonekano wa Furaha kutokana na Kinywaji cha Kabila la Kichaga, Mbege,

Waimbaji wa kundi la Jahazi, baada ya kufulia walitimukia ndani ya Zumba Land
 Waimbaji wa kundi la Jahazi, baada ya kufulia walitimukia ndani ya Zumba Land
 Wazazi na Watoto wakiendelea kwa pamoja
 wazee katika pozi
 Wengine hadi kusinzia
 Mrembo akifuatilia jambo ndani ya Ukumbi wa Zumba Land
 Mashasham yakiendelea kutoka kila kona ya Ukumbi wa Zumba Land katika CHAGGA DAY 2012 mjini Moshi.
 Watu Wazima wakimeza Taratibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na kusinzia
 Baada ya kushindwa kuvumilia, anaonekana akishangaa jambo
 Mambo haya Siyo Mjini Dar es Salaam Pekee, Starehe ya CHAGGA DAY ilikuwa ya kusisimua kama ambavyo kina dada baada ya kushindwa kuvumilia pamoja na kwamba safari ilikuwa ni kwenda jahazi, waliishilia kuingia katika ukumbi wa Zumba Land kupata mitori, Ndafu, Kisusio, Mbege, huku wakipata moja bariiiidi na TBL .
Moja ya Meza zilizokuwa maeneo hayo, pilikapilika nazo zikiendelea kwa watoto, mara kucheza na mara kunywa.(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

BIDHAA ZA KAMPUNI YA VINYWAJI BARIDI NA MURUA PEPSI KIVUTIO KIKUBWA KATIKA TAMASHA LA VYAKULA VYA ASILI VYA KABILA LA KICHAGA JANA KATIKA UKUMBI WA ZUMBU LAND.

 Mchezo wa mpira GAME ambazo sasa zinapatikana katika Ukumbi wa Zumba Land, kwa ajili ya kutumiwa na wateja ambapo unaingiza shilingi mia mbili kabla ya kucheza kufungua mitambo yake
  Mchezo wa mpira GAME ambazo sasa zinapatikana katika Ukumbi wa Zumba Land, kwa ajili ya kutumiwa na wateja ambapo unaingiza shilingi mia mbili kabla ya kucheza kufungua mitambo yake
 Watoto wakipata Huduma ya Vinywaji

 Baadhi ya Wateja wakizunguka kupata mahitaji ya maelezo kuhusu vifaa vya kale vya kabila la Kichaga , kulia ni mtoa maelezo wa UHURU MUSEUM, Macmillan Siraki.

 Wafanyakazi wa Ukumbi wa Zumba katika Mwonekano wa Kung'aa huku wakiwa safi
  Wafanyakazi wa Ukumbi wa Zumba katika Mwonekano wa Kung'aa huku wakiwa safi
 Baadhi ya Bidhaa za KONYAGI zikiendelea kuuzwa
  Baadhi ya Bidhaa za KONYAGI zikiendelea kuuzwa
 Baadhi ya Bidhaa za KONYAGI zikiendelea kuuzwa(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

CHAGGA DAY 2012, SERENGETI BAND ILIVYORUSHA NA KUFURAHISHA UMATI ULIOKUWA UMEFULIKA KATIKA MAENEO TOFAUTI.

 Mpiga Gitaa kama kawaida akiendelea kucheza na nyaya huku mikono ikitikisika.
 Mpiga Kinanda kama kawa
kama kawaaaa wazeee wa masauti na sax.
 kama kawaaaa wazeee wa masauti na sax.
 Mpiga Dram
 Mpiga Dram
 Huku yote yakiendelea, pia wazee walipata nafasi ya kuchomokea katika kupata vitu vyao yaani kutoka KONYAGI Bidhaa zote zilipatikana kama unavyoona watu wakiwa wamefurika kaunter
 Mpiga Gitaa la Solo
 Bess Gitaa

 Mpiga Kinanda kama kawa
 Fundi Mitambo wa Tamasha la Jana CHAGGA DAY 2012

(Picha Zote na Shaaban Mpalule).