TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, July 22, 2016
KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM MJINI DODODMA LEO
R.P.C CUP LINDI 2016 YAINGIA RAUNDI YA PILI:
Wachezaji wa timu ya Mikumbi , Kiungo
mshambuliaji , Ramadhani Ngawina Kushoto na Mshambuliaji Martini Chitanda
(katikati) wakifukuzia kuwania Mpira dhidi ya Beki Machachali wa Timu ya
Tandangongoro Mohamed Mbwatila, katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa
Ilulu Lindi katika mfululizo wa Mashindano ya kombe la R.P.C CUP 2016, katika
mchezo huo timu ya Mikumbi iliibuka na ushindi wa 2-0.

Subscribe to:
Posts (Atom)






