TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, November 19, 2014

URENO YAINYUKA ARGENTINA LAKINI RONALDO NA MESSI HAKUNA MBABE

wacheza dakika 45 tu, wadhihirisha hakuna bifu kati yao

by 

Ronaldo and Messi acknowledge one another as opposition skippers before the game as referee Martin Atkinson (centre) looks on
Mashabiki 40, 000 waliingia uwanjani Old Trafford kuangalia mchezo wa kirafiki wa Ureno na Argentina huku walengwa wakuu wakiwa ni Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Mafahari hao wawili wakiwa wameteka gumzo la mechi hiyo kwa wiki nzima, wakatoka uwanjani bila kugusa nyavu – hakukuwa na mbabe kati yao kwa maana ya mchezaji mmoja mmoja.
Ronaldo na Messi wote wawili walitolewa mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza na hivyo hakuna aliyehusika kwa namna yoyote na bao la dakika za majeruhi la Raphael Guerreiro aliyeipatia Ureno goli pekee lililofanya mchezo huo wa aina yake umalizeke kwa matokeo ya 1-0.
Nyota hao ambao kwa sasa ndio wachezaji bora zaidi duniani wakizechezea timu pinzani chini Hispania (Barcelona na Real Madrid), wakaonyesha kuwa hawana bifu lolote na mara nyingi walionekana kutaniania na kucheka kila walipokutana uwanjani.
Hata wakati wakiwa njiani kutoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kuelekea dimbani kuanza mchezo, Ronaldo ambaye ni nahodha wa Ureno, alimfuata Messi ambaye nae pia ni nahodha wa Argenitina na kumkumbatia huku wote wawili nyuso zao zikipambwa na tabasamu.
Both Messi (left) and Ronaldo put their fingers to their noses and exchange a word during the friendly at Old Trafford
The Argentina star (left) and the Portuguese forward enjoy a joke and exchange some words during the match on Tuesday
Ronaldo aliyekuwa kama anacheza kwenye uwanja wa nyumbani (nyumbani kwa Manchester United) akapokewa na mabango mengi yaliyomwambia “Karibu nyumbani”.
A fan in the crowd holds up a sign bearing the words 'Welcome home Ronnie' in reference to Ronaldo's return to Old Trafford
Wote wawili walipata alama 7 kati ya 10 katika ubora wa viwango vya uchezaji katika mchezo huo.
Argentina: Guzman 6, Roncaglia 5.5, Biglia 6, Demichelis 5.5, Ansaldi 6 (Silva 71, 5.5), Mascherano 7, Otamendi 5.5, Pastore 6.5 (Pererya 73, 5), Di Maria 6 (Tevez 61, 5), Higuain 5.5 (Lamela 61, 5), Messi 7 (Gaitan 45, 6)Booked: Ansaldi.Portugal:: Beto 6.5, Bosingwa 6, Bruno Alves 6, Pepe 5.5 (Fonte 45, 6), Tiago Gomes 5.5 (Guerreiro, 6); Nani 5, Moutinho 6, Danny 5.5 (Eder 45, 5.5), Tiago 6 (Carvalho, 77) , Andre Gomes 5.5 (Silva 68, 5.5), Ronaldo 7 (Quaresma 45, 6).

No comments:

Post a Comment