TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, November 21, 2015

HAWA NDIO WACHIMBAJI WALIOFUKIWA NA KIFUSI KWA SIKU 41.


Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya manyara kwa siku 41 wameokolewa usiku wakiwa hai.
Watu hao walikuwa wakiishi kwa kula nguo zao magome ya miti na udongo ambapo walikuwa umbali wa zaidi ya kilometa 10 ardhini baada ya kuangukiwa na kifusi..
Hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya Kahama.


No comments:

Post a Comment