TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, November 20, 2015

TAASISI ZA ELIMU ZAHIMIZWA KUWATHAMINI WAHITIMU WANAOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO.




















. Mwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE  Bw.Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof.Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.
Bw. James Mkuwa - Muhadhiri Msaidizi Idara ya uongozi wa Biashara CBE akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali kuhusu elimu ya Biashara wanayoitoa kwa wajasiriliamali ,wanafunzi ngazi ya shahada na cheti pia wale wanaotaka kufungua kampuni na BIashara kwa kuwapatia taaluma ili wajiandae kujiajili wenyewe.
Wageni mbalimbali wakitembelea eneo la Vipimo na Mizani wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo na zawadi kwa wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam.


Mmoja wa Wahitimu wa CBE aliyefanya vizuri katika fani ya Rasilimali Watu Bi. Happyness Onani akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Prof.Emmanuel Mjema.

No comments:

Post a Comment