Mkutano wa Magavana unaosimamiwa na Taasisi ya Usimamizi wa Fedha na Uchumi kutoka (MEFMI).
==============================================
Bilioni 2.5 kuanza kujenga hospitali ya Wilaya ya Morogoro
=====================================================
BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI MAKOLE DODOMA
===============================================
SERIKALI YAASWA KUPIGA VITA DHIDI YA UKATILI NA UNYANYAPAA DHIDI YA WATU WENYE UALBINO.
Mwakilishi
wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za watu wenye ualbino, Ikpowose Ero,
akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana juu ya
maazimio yaliyofikiwa katika mkutano wa watu wenye ualbino Afrika
uliofanyika nchini hivi karibuni, Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UN,
Alvaro Rodrigers na Mkurugenzi mkazi wa Under the same Sun.
========================================
Mangula azindua Kitabu cha “Majipu ya Nchi Yetu” Tushirikiane kuyatumbua leo jijini Dar es salaam
SERIKALI YAONYA MATUMIZI MABAYA YA VYANDARUA.
TUSKER FANYA KWELI UWINI YATOA MILLION 20 KWA WASHINDI 20 WIKI HII
=========================================
Tanzania yatajwa katika nchi zinazoongoza kwa unyanyasaji kwa watu wenye Ualbino
WABUNGE WAJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, DODOMA
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KITUO CHA UHAMIAJI HOLILI
====================================================
Taasisi ya Uongozi na Chuo cha Utawala China zatia saini hati ya makubaliano.
=======================================================
Airtel na VETA yapeleka VSOMO DODOMA.
Meneja
huduma kwa Jamii wa Airtel Hawa Bayumi, akizungumza na wanafunzi wa
Chuo cha Ufundi Stadi Veta Dodoma wakati wa uzinduzi wa programu ya
Vsomo inayotolewa na kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel ambapo
wanafunzi wa Chuo cha Veta watapata fursa ya kusoma kupitia simu ya
mkononi kulia ni Meneja mauzo wa Airtel Dodoma Stephen Akyoo na kushoto
ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Dk Jasmini Tiisekwa.










Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula(mwenye shati jeupe)
akizindua Kitabu chenye jina la “Majipu ya Nchi Yetu” Tushirikiane
kuyatumbua leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya
Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM) Bi. Deborah Charles, Agusto Matefu,
Mwenyekiti wa Kamati ya Mijadala na Kongamano ambaye pia ni Mwandishi wa
kitabu hicho Amos Siyantemi na wa mwisho kushoto ni Mratibu wa Taifa wa
Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM) Bw. Daniel Zenda. Kampeni
hiyo inalengo la kumuunga mkono na kumsaidia Rais Magufuli katika
jitihada zake za kupambana na rushwa maarufu kama utumbuaji wa majipu.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula(mwenye shati jeupe) akionyesha
Kitabu chenye jina la “Majipu ya Nchi Yetu” Tushirikiane kuyatumbua mara
baada ya kukizindua leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM) ambaye pia
ni Mwandishi wa kitabu hicho Amos Siyantemi na kushoto ni Mratibu wa
Taifa wa Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM) Bw. Daniel Zenda.
Kampeni hiyo ina lengo la kumuunga mkono na kumsaidia Rais Magufuli
katika jitihada zake za kupambana na rushwa maarufu kama utumbuaji wa
majipu.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM) Amosi Siyantemi
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa uzinduzi
wa Kitabu cha Majipu ya Nchi yetu “ Tushirikiane kuyatumbua leo jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula
na kushoto Mratibu wa Taifa wa Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini
(KVM) Bw. Daniel Zenda.
Waandishi wa habari wakifuatilia uzinduzi wa Kitabu cha Majipu ya Nchi
Yetu “Tushirikiane kuyatumbua” leo jijini jijini Dar es Salaam. Kitabu
hiko kimezinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula
(hayupo pichani).Uzinduzi wa Kitabu hicho umeenda sambamba na
utambulisho wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM). Kampeni
hiyo ina lengo la kumuunga mkono na kumsaidia Rais Magufuli katika
jitihada zake za kupambana na rushwa maarufu kama utumbuaji wa majipu.












Mwenyekiti
wa Semina ya Wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa
Umma,Sura 410, Mhe. Hawa Ghasia akiongoza mjadala kuhusu Marekebisho ya
Sheria hiyo, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, mjini Dodoma, jana.







No comments:
Post a Comment