MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Wakati
Tanzania ikiwa imeadhimisha Mafanikio ya Uhuru wa Miaka 50, Idadi kubwa
ya wakazi Bado hali zao ni duni, kutokana na Miundo mbinu, ukosefu wa
Ajira, pamoja na hali mbaya ya kiuchumi, kama ambavyo Mzee Kichaka Pori,
alivyokutwa katika pilika za kutafuta mahitaji yake ya kila siku, nje
ya Jiji la Dar es Salaam leo.(Na:Mpiga Picha wetu)
Wachina la Tamasha la wasanii laja
Mwenyekiti
wa Bodi ya wajumbe wa China, Zhu Jin Feng(kati), Mwenyekiti bodi ya
Biashara Afrika Hao Jianguo(kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano na
Udhamini, Yang Xiao, wakifafanua jambo kuhusiana na Tamasha la
maadhimisho ya watu wa China kwa Mwaka huu, hafla hiyo imefanyika Katika
Ukumbi wa Idara habari Maelezo, Dar es Salaam Leo(Picha na Shaaban Mpalule).
Baadhi ya watu wa china wakifutilia kwa makini mazungumzo hayo
Mkurugenzi
wa Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Dkt, Ramadhani Dau,wakati wa
Mazungumzo na wawekezaji wa Nje kuhusu Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Pombe Magufuli(kati) akiwa na Wadau wa Ujenzi katika Ndoto ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
Picha inayoonyesha Ndoto za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
No comments:
Post a Comment