Baadhi ya Viongozi wa Maandalizi ya Tamasha la Chagga Day, wakiwa katika mazungumzo hatua za Mwisho mwisho
Wakiwa katika Kikao katika Ukumbi wa Zumba Land Mjini Moshi
Hii ni Moja ya Picha ya ndege za maonyesho ndani ya Ukumbi wa Zumba Land, ni kivutio kikubwa kwa watoto
Hii ni Stage ambayo imejengwa kwa ajili ya Tamasha hilo
Ni moja ya Picha za Vivutio kwa wateja ndani ya Ukumbi huo
Hapa ni sehemu ya Kaunta katika Ukumbi huo wa Zumba Land,
Baadhi ya Vifaa vya Michezo ya Watoto vilivyoko ndani ya Ukumbi wa Zumba Land
Baadhi ya Vifaa vya Michezo ya Watoto vilivyoko ndani ya Ukumbi wa Zumba Land
Ni kivutio mojawapo kilichopo ndani ya Ukumbi huo
Ukumbi wa Zumba Land ni Ukumbi wa Kisasa ambao ujenzi wake umekamilika hivi karibuni, hivyo kuna manzali nyingi usizozitarajia, kama inavyoonyesha hapo katika Picha
Mkurugenzi wa Zumba Land, Aubney Mawalla(kulia) akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Mwisho cha Maandalizi ya Tamasha la CHAGGA DAY mjini Moshi siku ya kesho.Wengine katika Picha ni Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Paul Siboka na Mama Siboka,Mwinyi Mwinyi( Mwandishi kutoka Gazeti la sani) na Adamu kutoka Kampuni ya Intergreted.
Kibanda kwa ajili ya Tiketi hapo kesho
Eneo ambao Vitapatikana Vyakula vya Kichaga kama vile Ndafu
Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Paul Siboka , akionekana kuwasiliana na wenzake wakati kikao kikiendelea
Hizi ni Picha za vivutio kwa wageni ndani ya Ukumbi huo wa Zumba Land
Moja ya Familia za Mjini Moshi, Baba huyu akiwa na mkewe wakiwa na watoto wao katika moja ya michezo ya watoto ndani ya Ukumbi huo wa Zumba Land jana.
Watoto wakiendelea na Michezo ya Bembea ndani ya Zumba Land
Baba akicheza na wanae katika Ukumbi wa Zumba Land
Baba akicheza na wanae katika Ukumbi wa Zumba Land
Baba akicheza na wanae katika Ukumbi wa Zumba Land
Baba akicheza na wanae katika Ukumbi wa Zumba Land
Mratibu wa Tamasha la Zumba Land, Adamu akionekana kufurahi jambo baada ya kikao kumalizika (Picha Zote na Shaaban Mpalule).
No comments:
Post a Comment