(DACICO)
CHUO KINA USAJILI WA KUDUMU WA NACTE
No. PWF/025
CHUO
BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA CHENYE USAJILI WA KUDUMU KUTOKA NACTE –
KWA USAJILI No. PWF/25 KINATANGAZA MUHULA MPYA WA MASOMO KWA NGAZI YA CERTIFICATE MWAKA MMOJA
NA DIPLOMA MIAKA MIWILI
KWA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAR. 20/04/2013 KWA KOZI ZIFUATAZO:
Ø
JOURNALISM
AND MASS COMMUNICATION
Ø
HUMAN
RESOURCE MANAGEMENT
Ø
COMMUNITY
DEVELOPMENT
Ø
PROCUREMENT
& SUPPLY MANAGEMENT
Ø
RADIO
& TV BROADCASTING
Ø
UANDAAJI
NA UTAYARISHAJI WA FILAMU
Ø
PUBLIC
RELATIONS
Ø
RECORD
MANAGEMENT
Ø
BUSINESS
ADMINISTRATION
SIFA
ZA CHUO:
Ø KINA
USAJILI WA KUDUMU WA NACTE
Ø CHUO
KINA MANDHARI NZURI
Ø CHUO
KINA WALIMU WALIOBOBEA KTK UFUNDISHAJI
Ø CHUO
KINA UZOEFU ZAIDI YA MIAKA 10 KATIKA UFUNDISHAJI NA UMALIZAPO MASOMO WAWEZA
KUJIUNGA NA VYUO VIKUU VYA NDANI NA NJE YA TANZANIA KWANI
Ø CHUO
KIPO KATIKA MIKAKATI YA KUTOA DEGREE MNAMO MWAKA 2014
Ø HOSTEL
ZENYE HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA KWA WAVULANA NA WASICHANA
FOMU
ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA:
CHUONI
KIMARA, GML SECRETARIAL KIMARA, MANISPAA YA BUKOBA, CDTI – IRINGA, CDTI – MBEYA
KWA
MAWASILIANO ZAIDI NA CHUO PIGA SIMU NA:
0713
– 571676, 0715 – 982982, 0765 – 179965, 0715 – 782394, 0754 – 506251
NYOTE MNAKARIBISHWA
..............................................................................
MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHUO
BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA, DAR ES SALAAM CITY COLLEGE, VEDASTO
MALIMA AKIFAFANUA JAMBO DARASANI LEO.
MWALIMU-ADOLF
KISIMA- AKIWA DARASANI KATIKA CHUO HICHO
Walimu wakiwa katika Moja ya Vikao vya Shule hiyo
Wanafunzi wa Chuo Hicho wakifuatilia kwa makini mafunzo ya walimu wao wakati wa Mkutano na Viongozi
Wanafunzi wakitoka madarasani
Wanafunzi wakionekana kupumzika katika moja ya majengo ya Chuo Hicho
Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji wakiwa katika Mafunzo kwenye Maalumu (Studio) iliyopo katika Chuo ambapo wanafunzi ujifunza wakati wa masomo ya Utangazaji.
Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji wakiwa katika Mafunzo
kwenye Maalumu (Studio) iliyopo katika Chuo ambapo wanafunzi ujifunza
wakati wa masomo ya Utangazaji.
Mwalimu wa Masomo ya Utangazaji katika chuo hicho -akitoa mafunzo kwa Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji katika (Studio)
Wanafunzi wakiwa katika Vyumba Vyao huku wakiendelea kujisomoea(Hosteli ya Chuo).
MKURUGENZI WA MAFUNZO, VEDASTO
MALIMA AKIWA KATIKA MOJA YA OFISI ZA CHUO NA MAJADILIANO NA WANAFUNZI WA CHUO MHICHO.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
No comments:
Post a Comment