TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, April 14, 2013

MAZINGIRA YA JIJI LA DAR ES SALAAM NA UJENZI WA BARABARA ZA KISASA 2013

 Mtaa wa Magomeni Mapipa
 Askari wa Barabarani akikagua gari la abiria Daladala njia ya Kigogo
 Hii ni mitaa inayoizunguka Magomeni
 Barabara kuu ya Morogoro (Morogoro Road) hapa ni Ujenzi wa Barabara hiyo kuelekea Posta leo tarehe 14 -4-2013 hali ilivyo.

Eneo ili ni kuanzia Daraja la Mto Msimbazi katika  Barabara kuu ya Morogoro (Morogoro Road)  leo tarehe 14 -4-2013 hali ilivyo.

 Eneo ili ni baada ya Daraja la Mto Msimbazi katika  Barabara kuu ya Morogoro (Morogoro Road) inavyoonekana kuna kituo cha stand hapo baada ya ujenzi kukamilika, hiyo itasaidia kupunguza vitendo vya wizi na ukabwaji uliokuwa ukifanywa na vijana wa miaani.
Stand ambayo niajengwa  eneo ili baada ya kuvuka Daraja la Mto Msimbazi katika  Barabara kuu ya Morogoro (Morogoro Road) magari yakikatiza kwa taabu kutokana na kutumika njia moja.
 Stand ambayo niajengwa  eneo ili baada ya kuvuka Daraja la Mto Msimbazi katika  Barabara kuu ya Morogoro (Morogoro Road) magari yakikatiza kwa taabu kutokana na kutumika njia moja.
 Eneo ni Sehemu ya Mto Msimbazi, ambako Mvua zikinyesha kwa muda mrefu ufurika na kuwafanya wakazi wa maeneo hayo kuhama, hata hivyo serikali awamu iliyopita iliagiza wakazi wote kuondoka , lakini bado wakazi wengine wanaendelea na makazi.(pichani nyumba azionekani).
 Hapa ni Fire kituo maarufu sana katika jiji la Dar es Salaam, lakini pia Ujenzi bado unaendelea kama unavyoona barabara zikiwa zimefumuliwa.
 Hapa ni eneo linalokaribia barabaraya Nyerere  inayotoka Mnazi Mmojana kukutana na nbarabara ya  Morogoro Road, ni kati ya maeneo makubwa ya jiji lakini pia bado ujenzi unaendelea wa barabara za kisasa, hivyo taswira inaonekana kufumuliwa na kuwa Chakavu leo 14-4-2013
 Hapa ni eneo linalokaribia barabaraya Nyerere  inayotoka Mnazi Mmojana kukutana na nbarabara ya  Morogoro Road,wakazi wa jiji wakiendelea na pilika zao za maisha ya kila siku
 Msongamano wa magari barabaraya Nyerere  inayotoka Mnazi Mmojana kukutana na barabara ya  Morogoro Road,
 Eneo ili ni Nyerere Road, barabara inayotoka Uwanja wa Ndege yaani kutoka mnazi mmoja, inapoanza kituo cha mabasi cha Akiba, huku bado barabara azijafumuliwa kwa ajili ya ujenzi, lakini msongamano wa magari ni mkubwa.
 Barabaraya Nyerere  inayotoka Posta  kuelekea Mnazi Mmoja na kukutana na barabara ya  Morogoro Road, hapa imefumuliwa eneo kidogo la Akiba kwa upande wa barabara ya Nyerere, usumbufu unaonekana upo kwa wapitao na magari yaani Magari kutokana na kutumia barabara Moja.
 Barabara inayokatiza Hoteli ya Serena katikati ya jiji, hii barabara ni ya njia moja kwenda na moja kurudi, tatizo ni msongamano mkubwa wa magari kwa muda wote.
Barabara inayokatiza Hoteli ya Serena katikati ya jiji, hii barabara ni ya njia moja kwenda na moja kurudi, tatizo ni msongamano mkubwa wa magari kwa muda wote.
(Picha Zote kwa hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)

No comments:

Post a Comment