 |
Wanafunzi Mbalimbali wa shule za Msingi wakiwa katika mazoezi ya timu hiyo |
 |
Wanafunzi wa Shule za Msingi Dodoma AGNES LINUS na Amina juma, wakichuana wakati wa Maandalizi hayo |
 |
Mkufunzi wa Timu ya Umitashumita tarafa ya dodoma mjini, Thobias Liamba, akiwa na Wanamichezo wa Timu hiyo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. |
 |
Kikosi cha Timu ya Umitashumita kwa Upande wa Hand Ball, katika Picha ya Pamoja. |
 |
Mkufunzi wa Mchezo wa Kurusha Tufe, Mwalimu Ivan Ryoka, akitoa maelekezo kwa mchezaji Makambi Daudi, wakati wa maandalizi ya timu hiyo katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. |
 |
Makambi Daudi akijiandaa kurusha Tufe |
Mchezaji wa Subira Kiyami, kwa Upande wa Wanawake akijiandaa kurusha tufe wakati wa mafunzo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).
No comments:
Post a Comment