Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano
na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi
waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini
uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa
Mwaka 2013 na Mpango na
Maendeleo wa Taifa 2014/15. |
No comments:
Post a Comment