Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto) akizungumza na Washiriki wa Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, anayefuata ni Suzan Chekani, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Tamisemi, na Joyce Mends-Cole, Mwakilishi wa UNHCR nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment