Balozi
wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem Al-Najem, akimkabidhi dawa Naibu Waziri
Wizara ya Afya Zanzibar, Mhe. Harusi Said, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Bi Halima Maulid na kushoto kwa Balozi Daktari Dhamana wa Kanda ya
Unguja Dk Fadhil Mohammed na Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar.
Dk Mohammed Dahoma.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid akimkabidhi Madawa
Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed, baada ya
kukabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.
Balozi Jasem Al-Najem, akisoma bango lilliloandikwa ujumbe wa hafla hiyo kwa viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya kuaza hafla hiyo ya kukabidhi madawa na maji. kushoto Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said na Naibu Katibu Mkuu Halima Maulid
No comments:
Post a Comment