Baadhi ya Watoto wakiwa katika Harakati za kufanikisha Bonanza
Ma MC Chipukizi walioshereheshea Bonanza wakiwa Jukwaani katika siku hiyo ya Watoto
Waandaaji wa Bonanza wakiwa kwenye Bonanza hilo
mkurugenzi wa Woman Society ambaye pia ndiye
mratibu wa bonanza hilo Janeth Mwasawala akifafanua jambo
Mgeni mwalikwa wa Bonanza Mwalimu Neema Kabale Kutoka Tawotea wa kwanza
kulia akisikiliza maelezo kutoka kwa kituo cha Msaada wa Kisheria cha WLAC , Wakili, Bw. Emmanuel
Sosteness.
Mgeni mwalikwa wa Bonanza Mwalimu Neema Kabale Kutoka Tawotea wa kwanza
kulia akisikiliza maelezo kutoka Taasisi ya kupambana na Kuzuia Rushwa
Tanzania (PCCB) katika maelezo yaliyotolewa na Marcella Salu, ambaye ni Afisa wa Elimu kwa Umma Mkoa wa Kinondoni.

Mkurugenzi wa Woman Society ambaye pia ndiye
mratibu wa bonanza hilo Janeth Mwasawala akifanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari.
Mkurugenzi wa Woman Society ambaye pia ndiye
mratibu wa bonanza hilo Janeth Mwasawala akifanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari.
Wanafunzi kutoka Shule mbali mbali wakishiriki kikamilifu katika Fani mbali mbali za Michezo katika Bonanza hilo
Mgeni Rasmi wa Bonanza hilo ambaye kutoka wizara ya Afya maendeleo ya jamii
jinsia Wazee na watoto Bi. Asha Sarota akikagua moja ya Mabanda katika Bonanza
Wanafunzi kutoka Shule mbali mbali za jiji la Dar es Salaam, wakiwasilisha Ujumbe wa Watoto kwa Ngonjera
Washiriki Watoto na Wazazi wakifuatilia
Kamati ya Bonanza ikifuatilia masuala mbalimbali
Mkurugenzi Mtendaji msaidizi wa Vegeta, Damir Istvanovic akiwaongoza akishiriki katika kutoa bidhaa zinazopatikana katika kampuni hiyo ndani ya bonanza hilo.(Picha Zote na Shaaban Mpalule).
==================================================
Na: Ismael Mnikite.
Women
IN SOCIETY ; ni wanawake walio ndani ya jamii katika kufanya mambo yanayohusiana na Maendeleo ya jamii, ambapo leo wameandaa bonanza la kutoa elimu kwa jamii kuhusu kuboresha haki
na thamani ya watoto ili kupunguza ukatili kwa watoto, ikiwa ni kutokana na kuwa
ukatili umekuwa ukikithili katika maisha ya kila siku kwa kwa watoto.
ikiwa ni pamoja na watoto kutosikiliza wazazi na wazazi kutokuwa karibu na watoto wao , Hivyo bonanza hili lengo lake ni kuwaweka watoto karibu na wazazi ambapo kwa pamoja watakuwa kitu kimoja kati ya Wazazi na Watoto wakiwajumuisha wadau mbali mbali ikiwemo Serikali na kwamba miongoni mwa malengo ni kuwafikiwa watoto na Wazazi nchini kote. .
Akizungumza
katika bonanza hilo mkurugenzi wa Woman Society ambaye pia ndiye mratibu wa
bonanza hilo Bi. Janeth Mwasawala, amesema kuwa siku ya leo jumla ya shule 34 za mkoa wa dare
s salaam, wazazi na walimu wameshiriki, ambapo pia amesema shughuli hiyo
imedhaminiwa na Tanzania Tea brenders, Plan International, Vegeta Podravka Ltd,
Dolphin cline water, na Dart ambapo ufunguzi wa bonanza hilo umeshirikisha
msemaji mkuu kutoka wizara ya Afya maendeleo ya jamii jinsia Wazee na watoto Asha Sarota,
No comments:
Post a Comment