VYAMA VYA SIASA VIMEKUTANA KUJADILI MAPENDEKEZO YA MFUMO WA UTATUZI WA MIGOGORO NDANI NA BAINA YA VYAMA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya
Wazee Tanzania Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya
Wazee Tanzania baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini bungeni
mjini Dodoma Aprili 29, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla
.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda (wa pili kushoto),akiwa
sambamba na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa za Wilaya ya Kinondoni,Ilala
pamoja na Temeke wakishiriki kwa pamoja kufagia ikiwa ni ishara ya
kumuunga mkono Mh Paul Makonda kuzindua kampeni ya Usafi wa jiji la Dar
Es Salaam,uzinduzi wa kampeni hiyo imefanyika mapema leo asubuhi Katika
viwanja vya .Lidaz Club,Kinondoni na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali
serikali,dini na makundi mengine yakiwemo makundi ya michezo na
waendesha boda boda.Mkuu wa Mkoa alizindua kampeni hiyo ya Usafi kwa
kuwakabidhi Wenyeviti hao kila mmoja ufagio wa ajili ya kwenda
kuwahamasisha wananchi wao katika mitaa yao.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda akiwahutubia Wananchi
mbalimbali mapema leo asubuhi katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni
jijini Dar mara baada ya kumaliza kufanya usafi na hatimae kukusanyika
kwenye viwanja hivyo,ambapo Mh.Paul Makonda alizindua kampeni ya Usafi
kwa jiji la Dar.
Mkuu
wa Mkoa Mh.Paul Makonda akimkabidhi ufagio Mwenyeki wa Wenyeviti wa
Serikali za Mitaa Wilaya ya Temeke ndugu Bakari Makere,kumuunga mkono
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda katika uzinduzi wa Kampeni hiyo ya Usafi kwa
jiji hilo.
Mkuu
wa Mkoa Mh.Paul Makonda akimkabidhi ufagio Mwenyeki wa Wenyeviti wa
Serikali za Mitaa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Juma Mgendwa
Sehemu ya meza kuu ikifuatilia yaliokuwa yakijiri uwanjani hapo
Wananchi wakishangilia jambo
Wananchi weakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo
Yamoto Band wakitumbuiza jukwaani.
Wasanii
wa muziki wa kizazi wa kundi la Yamoto Band wakitumbuiza jukwaani na
wimbo wao wa kuwahamasisha wananchi suala la usafi katika jiji la Dar na
kwingineko
Baadhi
ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Leaders
Club,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo mara baada ya
kumaliza kufanya usafi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya
Ilala, Raymond Mushi wakiongoza maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar es
salaam katika matembezi maalum ya kampeni ya kuhamashisha usafi katika
jiji hili #Dar es salaam Ya Makonda, Usijifanye Mstaarabu kuwa
Mstaarabu. Matembezi hayo yalimeanzia katika Uwanja wa Karume, Ilala na
kuishia katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Sehemu
ya wananchi wa Jiji la Dar es salaam wakishiriki Matembezi ya maalum ya
kampeni ya kuhamashisha usafi, kuunga mkono kauli ya Mkuu wa Mkoa, Paul
Makonda aliyeongoza matembezi hayo. #Dar es salaam Ya Makonda,
Usijifanye Mstaarabu kuwa Mstaarabu.
No comments:
Post a Comment