TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, April 8, 2013

KAMBI YA MISS UTALII YAANZA UPYA- ZIARA MISS UTALII TANZANIA 2012-13 MIKUMI NATIONAL PARK- YAKAMILIKA KWA WASHINDI WA TUZO MBALIMBALI KUPATIKANA NDANI YA HIFADHI

 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika bwawa la Viboko Mikumi National Park.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika bwawa la Viboko Mikumi National Park.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 walioshinda Tuzo mbalimbali za Utalii na Utamaduni zilizofanyika Mikumi National Park.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 walioshinda Tuzo mbalimbali za Utalii na Utamaduni zilizofanyika Mikumi National Park.wakiwa na wahifadhi.
Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Mikumi Conferance Tourism, Vestina Jax(Miss Utalii Dar es Salaam 2) 
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Cultural Tourism, Nusura Said(Miss Utalii Simiyu).
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Marin Park, Baby Juma(Miss Utalii Mtwara).
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Forest Service, Flora Kazungu(Miss Utalii Vyuo Vikuu)
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Mount Kilimanjaro, Anna Pogali(Miss  Utalii Kilimanjaro)
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Ngorongoro Creater, Erica Elibariki(Miss Utalii Dodoma).
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Sport Tourism,Hellen Mhando(Miss Utalii Tanga).
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Serengeti Migration, Neema Kanafunzi(Miss Utalii Rukwa)
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Tour Oparetor, Valelia Samsoni(Miss Utalii Kagera).
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya WildLife, Hadija Saidi(Miss Utalii Morogoro)
 Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Bee keeping, Magreth Michael(Miss Utalii Tabora).
Kaimu  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Community Service, Sabrina Minja(Miss Utalii Shinyanga).

ZIARA YA MISS UTALII TANZANIA KATIKA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA ZA UTALII 2013

Mhifadhi Utalii Emmanue Njiku, wa hifadhi ya Sadaan akifafanua jambo kwa Miss Utalii Tz 2013 wakati wa ziara hivi karibunil.
 Gari la Warembo likiwa limenasa katika hifadhi ya Saadan ivi karibuni
 Washishiriki Miss Utalii Tanzania 2013-ktk ziara ya mafunzo mto Wami- walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Saadan Juzi
Washiriki Miss Utalii Tanzania wakiwa katika pozi katika Hotelii ya kitalii ya Saadan Safari Lodge
Miss Utalii Tanzania wakifurahi wakati wa mazoezi katika Fukwe ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Miss Utalii Tz 2013 wakipozi katika milima ya Udzungwa baada ya kutembea kwa Nusu Mlima
Miss Utalii Tz 2013 baada ya kuwasili Mikumi jana
Miss Utalii Tanzania wakiwa katika Picha na Wakazi wa Kijiji cha Saadan
 Miss Utalii Tanzania wakipanda Milima ya Udzungwa juzi
Miss Utalii Tanzania wakiwasili katika hifadhi ya Taifa ya Saadan.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)

Wanyama kivutio kikubwa kwa Wageni katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.

 Twiga wakiwa katika pozi

 Twiga wakiwa katika pozi

 Twiga wakiwa katika pozi
 Tembo wakiwa katika kutafuta mahitaji yao ya kila Siku

 Tembo Wakifurahia jambo

 Tembo akiongoza mtoto wake kutafuta Chakula
 Pundamilia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

 Pundamilia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

 Nyati wakijaribu kunusa Harufu baada ya kuhisi jambo

 Nyati wakiwa katika Mawindo ya kutafuta Chakula
 Swala wakiwa Chonjo baada ya kuhisi jambo
Ndege aina ya Kolongo wakiwa katika kundi la Swala kwa lengo la kuvizia aina ya wadudu wanaowatambaa Swala hao katika Hifadhi ya Mikumi(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania-Mikumi)

TEMBELEA HIFADHI YA MIKUMI UKUTANE NA MAPOZI 100 YA HAWA SIMBA













Katika Safari nyangu ya kutembelea hifadhi mbalimbali za Utalii Hapa Nchii Tanzania, nimekutana na Mapozi zaidi ya 100 kutoka kwa hawa Simba wa Mikumi ambapo kiujumla ilikuwa ni kama bahati kwangu kukutana na hali hiyo maana Watu wengi utembelea Hifadhi kwa lengo la kuwashuhudia Simba wakiwa katika hali yoyote. kinyume na matarajio yangu kutokana na kukutana na hawa Simba Jirani kabisa na Eneo la Barabara wakiwa juu ya Mti na kuanza kunipa mapozi mbalimbali utadhani washiriki wa mashindano ya Urembo Mamisi.wakiwa katika hali hiyo pia Simba hao walinifurahisha baaba ya kuanza kufanya mawindo mbele ya macho yangu kitendo ambacho mara nyingi nimekuwa nikikitazama kwenye Runinga ama Mikanda ya kurekodiwa, hivyo naweza kusema waliweza kunionyesha vitu mbalimbali Live.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)