Katika Safari nyangu ya kutembelea hifadhi mbalimbali za Utalii Hapa Nchii Tanzania, nimekutana na Mapozi zaidi ya 100 kutoka kwa hawa Simba wa Mikumi ambapo kiujumla ilikuwa ni kama bahati kwangu kukutana na hali hiyo maana Watu wengi utembelea Hifadhi kwa lengo la kuwashuhudia Simba wakiwa katika hali yoyote. kinyume na matarajio yangu kutokana na kukutana na hawa Simba Jirani kabisa na Eneo la Barabara wakiwa juu ya Mti na kuanza kunipa mapozi mbalimbali utadhani washiriki wa mashindano ya Urembo Mamisi.wakiwa katika hali hiyo pia Simba hao walinifurahisha baaba ya kuanza kufanya mawindo mbele ya macho yangu kitendo ambacho mara nyingi nimekuwa nikikitazama kwenye Runinga ama Mikanda ya kurekodiwa, hivyo naweza kusema waliweza kunionyesha vitu mbalimbali Live.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, April 8, 2013
TEMBELEA HIFADHI YA MIKUMI UKUTANE NA MAPOZI 100 YA HAWA SIMBA
Katika Safari nyangu ya kutembelea hifadhi mbalimbali za Utalii Hapa Nchii Tanzania, nimekutana na Mapozi zaidi ya 100 kutoka kwa hawa Simba wa Mikumi ambapo kiujumla ilikuwa ni kama bahati kwangu kukutana na hali hiyo maana Watu wengi utembelea Hifadhi kwa lengo la kuwashuhudia Simba wakiwa katika hali yoyote. kinyume na matarajio yangu kutokana na kukutana na hawa Simba Jirani kabisa na Eneo la Barabara wakiwa juu ya Mti na kuanza kunipa mapozi mbalimbali utadhani washiriki wa mashindano ya Urembo Mamisi.wakiwa katika hali hiyo pia Simba hao walinifurahisha baaba ya kuanza kufanya mawindo mbele ya macho yangu kitendo ambacho mara nyingi nimekuwa nikikitazama kwenye Runinga ama Mikanda ya kurekodiwa, hivyo naweza kusema waliweza kunionyesha vitu mbalimbali Live.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment