Hii ndiyo Dar es Salaam, ambayo kadri siku zinavyosonga na jiji linaingia katika mabadiliko makubwa, lakini kubwa kuliko yote ni jinsi Maongamano wa Magari unavyozidi kuwa Mkubwa, Wingi wa Magari unashamili ambapo wakazi wengi wa jiji ni waaminiaji ukilinganisha na wazawa wa jiji hili, ni maarufu kwa Biashara na Shuguli nyingi za Serikali zinafanyika katika jiji hili, hivyo ni lazima kuchukua taadhali wewe unayeingia mjini kwa wakati huu.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
No comments:
Post a Comment