Mazoezi ni njia mojawapo katika kujenga Afya zetu-Vijana wakazi wa Mkoa wa Morogoro wakifanya Mazoezi katika Eneo la Barabara ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Wajenzi wa Mitalo ya Kando kando mwa Barabara zilizoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Mjini wakiendelea na zoezi hilo katika kuweka Mji Safi wa Morogoro
Mvua ambazo zimenyesha kwa muda sasa maeneo mbalimbali ya Tanzania, zimesababisha Uharibifu mkubwa wa Barabara ambapo Magari yenye uzito mkubwa yanaendelea kupata tatizo katika Safari zao kama ilivyokutwa hii eneo la Barabara ya Abood Radio mjini Morogoro
Mkoa wa Morogoro ni kati ya Mikoa ambayo imenufaika na Mvua Zilizonyesha kwa Muda mrefu sasa, kama ambavyo imekuwa Furaha kwa Wakulima wa zao la Mhindi.
Michezo ni Afya, Wazazi mnashauriwa kuwaandaa vijana katika michezo, pichani Watoto wakazi wa Mji wa Morogoro wakicheza mduara
Biashara ya Kuuza Mafuta imezidi kushamili sehemu mbalimbali za nchi, Mfanyabiashara wa Mafuta akijaza Mafuta katika Sheli ya Gapco kwa kutumia mfumo wa Kidumu kama aliyokutwa na jicho la kamera ya Full Utamu, Posta Mpya jijini Dar es Salaam.
Kadili siku zinavyosonga na maisha nayo yamezidi kuongamana uhususani kwa kina mama wakazi wa majiji, wakazi wa Dar es Salaam wakikatiza na Mifuko Chupa za Maji ambazo zinauzwa kati ya shilingi 50 hadi 100
Biashara ya Kuuza Mafuta imezidi kushamili sehemu
mbalimbali za nchi, Mfanyabiashara wa Mafuta akijaza Mafuta katika Sheli
ya Gapco kwa kutumia mfumo wa Kidumu kama aliyokutwa na jicho la kamera ya Full Utamu, Posta Mpya jijini Dar es Salaam.
Pamoja na Dar es Salaam kuwa jiji kubwa, lakini Pia bado kuna barabara zingine ni kero kwa wapita njia, wakazi wa Ilala wakitoa msaada wa kusukuma gari ambalo limezimika wakati likijaribu kukwepa dimbwi la maji yaliyosababishwa na kunyesha kwa Mvua mfululizo maeneo tofauti ya nchi.
Watumia Vyombo vya Moto Maeneo mbalimbali ya Msongo mkuwa watu na maeneo wanamo ama kuvuka walemavu mmetakiwa kuwa waangalifu wakati wa kuzitumia barabara hizo.
Vijana mmetakiwa kujituma katika kazi, pichani Vijana wakazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam wakiendelea na Zoezi la kupakia mizigo
Wakati Mwingine Maji katika jiji la Dar es Salaam inakuwa Tatizo ususani wakati huu wa Ujenzi wa barabara ambapo mabomba mengi yamekatika hivyo kuwafanya kinamama kuangaikia maji kama ambavyo wakazi wa Ubungo Maziwa wakisubiri kwa udi maji yaliyokuwa yakichuruzika kutoka katika mipira iliyokatika.
Mjasilia Mali Mkazi wa Dar es Salaam, akikatiza na Guta kuvuka Taa za kuongoza magari Ubungo
Wakazi wa Kigogo jijini Dar es Salaam, wakiwa wamemzingira mama ambaye amesadikiwa kugongwa na bodaboda kisha boda boda hiyo kutoweka.
Sanamu la Simba ambalo linaonekana katika Barabara ya Mburahati njia ya Kigogo kivutio kwa Watoto
Wamasai ambao ivi sasa wamejaa katika eneo la Ilala wakijihusisha na usukaji, wameamua kuwa na chama cha ushirika, pichani wakiwa katika kikao leo
Askari Magereza wa Mkoa wa Morogoro wakikatiza katika Mitaa na Wafungwa, kama ambavyo wamekutwa na jicho la Mwandishi Wetu
Wafanyabiashara ya Mitumba katika Mji wa Morogoro wakika wakiwa katika pilika za kupeleka Biashara zao kwa ajiili ya mauzo.
Mjasilia Mali wa Mji wa Morogoro akiwajibika
Ongezeko la Nauli za Daladala nafuu ya wenye malori ambao majira ya jioni na Asubuhi sana wanakula vichwa
Soko la Boda boda Mkombozi wa Vijana wengi kama ambavyo vijana hawa wakisubiri wateja wao katika barabara kuu ya M ji wa morogoro
Watumia vyombo vya Moto katika miji mikubwa, mnatakiwa kuwa makini ususani gari kuisha mafuta, maan a tukio hilo linatokana na uzembe wako
Mjasilia Mali Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, akiuza fagio katika Chuo cha Uhandishi wa Habari DSJ kilichopo Sharif Shamba Leo.(Picha Zote Kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)
No comments:
Post a Comment