TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, April 10, 2013
MILIMA UDZUNGWA FAHARI YA TANZANIA KATIKA MAPOROMOKO YA SANJE
Mhifadhi Utalii wa hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, akiwapa Baadhi ya Majarida Mabalozi wa Utalii(Miss Tourism Tanzania 2013 Muda Mfupi baada ya kuwasili katika Hifadhi hiyo walikokwenda kujifunza Masuala mbalimbali ya Utalii wakati wakisubiri kushiriki Fainali za 5 za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2013.Katika Ziara hiyo Warembo hao walipata Fulsa ya Kuzitembelea Hifadhi zingine zikiwemo za Saadani, na Mikumi National Park. Ambako walifanikiwa kutazama Wanyama Mbalimbali kama vile Tembo,Swala,Twiga,Nyati, Pundamilia,Nyani,Simba, na pia waliweza kufanya Utalii wa kutumia boti katika Mto Wami na kuwashuhudia Mamba na Viboko wengi wanaoishi kwa Makundi.
Mabalozi wa Utalii(Miss Tourism Tanzania 2013 Muda Mfupi baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Milima ya Udzungwa, hapo ni eneo la kituo cha kwanza cha kupumzika wakati wa kupanda Milima hiyo ya Udzungwa.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment