TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, April 11, 2013

JE UNAIFAHAMU HISTORIA NA CHANZO CHA JINA LA MIKUMI?

Huu ndiyo mti  wenye jina MIKUMI.
Historia na chanzo cha jina Mikumi ulitokana na Mti huu ambao ndiyo wenye jina hilo la Mikumi na unapatikana hivi sasa katika hifadhi hiyo ya Taifa ya Mikumi National Park ambao pia ni moja ya kivutio kikubwa kwa wageni wanaoingia katika hifadhi hiyo kwa lengo la kujionea Wanyama mbalimbali wanaopatikana katika hifadhi hiyo iliyopo katika Mkoa wa Morogoro.
Balozi wa Katavi(Asha Ramadhan 22, Balozi wa Mazingira na Mwanamitindo (Desing),na asiyependa Umbea,  mwenye kiu ya kufikia Mafanikio kama kina Flaviana Matata, akitoa chozi baada ya kulazimishwa kusogea katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi Wakati Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 walipokuwa Ziarani kutembelea hifadhi za Taifa za Utalii.
 Balozi wa Dodoma(Erika Elibariki Mdeme 20, Mtafiti na Mbunifu wa Mitindo,na asiyependa Umbea,  mwenye kiu ya kufikia Mafanikio ya kuwa Mwanamuziki nyimbo za Asili, akifurahia Mazingira baada ya kuwasili katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Kagera akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Simiyu akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Manyara mwenye Tuzo ya Talent katika Shindano la Miss Utalii Tanzania 2013, akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Mtwara akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Arusha(kushoto) na wa Katavi wakipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Rukwa akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
 Balozi wa Ruvuma akipozi katika mbuyu ambao ni wa historia katika hifadhi ya Mikumi.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2013 wakionyesha Utundu wa kupanda Mbuyu wa kihistoria katika hifadhi ya Taifa Mikumi National Park.
Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania.

No comments:

Post a Comment