TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 28, 2013

WATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA “MO KIDS GOT TALENT 2013″, FAINALI KUFANYIKA LEO JIONI LEDGER PLAZA – BAHARI BEACH

DSC_1821 
Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la “MO Kids Got Talent 2013″
.Wazazi wahamasishwa kujitokeza kwa wingi, kuona vipaji vya watoto wao.
.Fainali kuanza saa kumi na moja jioni
DSC_1678
Chief Judge wa Shindano la vipaji vya watoto na vijana wadogo la “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki walioingia semi finals za shindano hilo linalofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji Neema Theobald na kushoto ni msanii wa filamu nchini Hidaya Njaidi wakiwa meza kuu.
DSC_1666 
Sehemu ya zawadi zilizotolewa kwa watoto walioshiriki kwenye usaili wa shindalo la “MO Kids Got Talent 2013″ ambapo fainali zake zinafanyika leo kuanzia saa Kumi na moja jioni ndani ya Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.
DSC_1706 
Pichani juu na chini ni baadhi ya kati ya watoto 15 wakionyesha vipaji vyao kwenye semi finals za shindano la kusaka vipaji kwa watoto na vijana la “MO Kids Got Talent” lililoandaliwa na Kampuni ya Frost Africa na kudhaminiwa na kampuni ya MeTL Group, ambapo leo jioni kutafanyika fainali za mashindano hayo kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar na mshindi kujinyakulia fedha taslim shilingi Milioni 5 za Kitanzania.
DSC_1875
Mambo ya Sugua Gaga hayo…… Wapi Shaa….??? Kipaji hicho…!!!
DSC_1928
DSC_1760
Sehemu ya watoto wakionyesha vipaji vyao vya aina mbalimbali ikiwemo kucheza, kuimba na vingine kibao.
DSC_1781
DSC_1801
DSC_1822
DSC_1686
Kipaji cha mchezo wa Karate pia kilikuwepo.
DSC_1745
DSC_1789
Sehemu ya watoto wakisubiria kuingia kwenye chumba maalum kuonyesha vipaji vyao.
DSC_1702
Afisa Mtendaji Mkuu wa Frost Africa, Bw. Peter Sekasiko akigawa zawadi zilizotolewa na MeTL Group pamoja na kupata picha ya kumbukumbu kwa washiriki waliojitokeza kwenye usaili wa shindano la “MO Kids Got Talent” ambapo fainali za shindano hilo zitafanyika leo kuanzia saa kumi na moja jioni kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.
DSC_1715
DSC_1773
DSC_1812
DSC_1824
DSC_1836
DSC_1857
DSC_1915

DSC_1785

DSC_1749
DSC_1860 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Frost Africa ambao ndio waandaji wa shindano la “MO Kids Got Talent” Bw. Peter Sekasiko, katika picha ya pamoja na Operations Manager wa MOblog, Zainul Mzige na Mwandishi wa Gazeti la Nipashe, Enles Mbegalo.

EPL HABARI NYINGINE, LIVERPOO WANNE KATIKA MSIMAMO BAADA YA KULIZWA 2-1 ETIHAD, ARSENAL WAREJEA KILELENI..CITY WAPILI…HAHAHAH!


Alvaro Negredo ameifungia Manchester City bao la ushindi usiku huu  dhidi ya Liverpool na kuendeleza ubabe wao katika dimba la Etihad.
Liverpool ambao wamekuwa wapinzani wa Man City nafasi za juu katika msimamo wa ligi kuu nchini England msimu huu walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza dakika ya 24 kupitia kwa  Philippe Coutinho akipokea pasi nzuri kutoka kwa Raheem Sterling.
Lakini wenyeji walijibu mapigo katika dakika ya 31 baada ya beki wa kati na nahodha wa Man City, Vincent Kompany kuunganisha mpira wa kona uliochongwa Mhispania David Sliva.
Sherehe ya ushindi kwa City ilikuja dakika ya 45 baada ya mshambuliaji hatari Alvaro Negredo kufunga bao la pili kufuatia kazi nzuri ya Jesus Navas.
Huwezi amini mpaka saa 12 kasorobo jioni ya leo, Liverpool walikuwa kileleni mwa EPL, hivi sasa ni saa nne usiku wameporomoka mpaka nafasi ya nne katika msimamo na Arsenal wakirudi kileleni kama kawaida.
Kali zaidi wiki ijayo, Liverpool wataingia kwenye kibarua kizito dhidi ya vijana wa Jose Mourinho, klabu ya Chelsea ya London.
Baada ya mechi za leo, timu tano za juu ni kama ifuatavyo;
Pos Team P W D L GF GA GD Pts
1 Arsenal 18 12 3 3 36 18 18 39
2 Manchester City 18 12 2 4 53 21 32 38
3 Chelsea 18 11 4 3 33 18 15 37
4 Liverpool 18 11 3 4 43 21 22 36
5 Everton 18 9 7 2 29 17 12 3
City slicker: Alvaro Negredo (right) celebrates after scoring the decisive goal for Manchester City 
Raha duniani: Alvaro Negredo (kulia) akishangilia bao lake la ushindi kwa klabu yake ya Manchester City
Kikosi cha Man City usiku huu: Hart 7, Zabaleta 6, Kompany 7, Lescott 7, Kolarov 5, Y Toure 6, Fernandinho 7, Navas 8, Silva 7 (Garcia, 86), Nasri 6 (Milner 71, 6), Negredo 8 (Dzeko 76).
Kikosi cha Liverpool: Mignolet 6, Johnson 6, Sakho 7, Skrtel 6, Cissokho 5; Lucas 6 (Aspas, 81), Sterling 7, Henderson 7, Allen 6, Coutinho 6 (Moses, 67), Suarez 7.
Strike: Negredo lifts the ball over the oncoming Simon Mignolet, who made a hash of his attempted save 
Shambulizi: Negredo akipiga mpira wakati Simon Mignolet  akijaribu kuokoa
Flapping: Mignolet waves the ball into the net as Negredo (left) begins to celebrate 
Manyoya: Mignolet akijaribu kuokoa mpira uliotinga wavuni, huku Negredo (kushoto) akianza kushangilia
Jumping for joy: Samir Nasri (right) can't contain his delight as Mignolet is on his knees 
Akiruka kwa furaha: Samir Nasri (kulia)  akionesha furaha yake wakati kipa Mignolet akiwa amejipigia magoti kuugulia maumovu ya goli hilo
He knows what he's done: Mignolet is crestfallen after his error, which led to Negredo's goal 
Anajua alichofanya: Mignolet  akijutia makosa yake yaliyosababisha Negredo afunge bao zuri na la ushindi
Down and out: Negredo lies on the turf clutching his leg and eventually is replaced by Edin Dzeko 
Chini na alitoka nje: Negredo akiwa amelala chini akiugulia maumivu ya mguu na alitolewa nje huku nafasi yake ikienda kwa mshambuliaji mwingine Edin Dzeko
Good Kompany: City captain Vincent Kompany (second left) rises to head the home side's equaliser 
Kompany Mzuri: Nahodha wa City , Vincent Kompany (wa pili kushoto) akiruka juu na kupiga kichwa mpira uliozaa bao la kusawazisha 
Roar talent: Kompany (centre) screams with delight after heading City level 
Kipaji cha juu: Kompany (katikati) akishangilia bao lake na wachezaji wenzake
Tussle: Joleon Lescott (left) and Luis Suarez grapple for possession of the ball 
Huendi mzee:  Joleon Lescott (kushoto) na  Luis Suarez wakigombania mpira
Trying to get away: Suarez attempts to break clear of Lescott with Yaya Toure (centre) trailing 
Anajiribu kutafuta njia: Suarez akijaribu kupasua njia pembeni ya  Lescott  huku  Yaya Toure (katikati) akiunga `traila`
Doubling up: Jesus Navas (left) and Pablo Zabaleta (right) combine to stop Aly Cissokho 
Wawili jamani!: Jesus Navas (kushoto) na Pablo Zabaleta (kulia) wakiungana kumzuia Aly Cissokho

WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TAMASHA LA KRISMAS WASUUZA MIOYO YA MASHABIKI UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba katika tamasha la Krismas lililofanyika leo kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro likishirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki huo hapa nchini na mwimbaji wa kimataifa kutoka nchini Zambia Ephraim Sekereti wamesuuza mioyo ya mashabiki baada ya kushusha burudani ya nguvu katika tamasha hilo, Katika tamasha hilo, mashabiki wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Jamhuri, Tamasha hilo linaandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam na linatarajiwa kuendelea mkoani Tanga  Desemba 28 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MOROGORO)  2 
Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro leo jioni. 3 
Boniface Mwaiteje naye akawanyanyua kwenye viti mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo. 
Hapa akiimba kwa furaha kumtukuza mungu wake mbele ya mashabiki wake kwenye uwanja wa Jamhuri. 
 7 
Vijana wa  kazi kutoka kundi la Kitimtim la Rose Muhando wakionyesha umahiri wao katika kucheza. 
 8 
Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba na mmoja wa mashabiki wake katika tamasha hilo. 9 
Mwimbaji wa kmataifa wa Zambia Ephraim Sekereti akiimba jukwaani katika tamasha hilo. 10 
Hapa akiimba na mashabiki wake 11 
Upendo Nkone akicheza na mastaeji shoo wake.

DAVID MOYES AENDELEA KUPATA FARAJA BAADA YA MAN UNITED KUSHINDA 3-2 UGENINI..ARSENAL, CHELSEA ZAFUFUKA TENA,..SPURS NGOMA DROO!!

Manchester United wametoka nyuma kwa mabao 2-o na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Hull  City katika dimba la KC, huku shukurani za pekee zikimwendea mchezaji wa zamani wa mashetani wekundu,  James Chester aliyejifunga bao la tatu na kuizamisha klabu yake ikiwa nyumbani.
Hata hivyo James Chester ndiye aliyekuwa wa kwanza kuiandikia kimiani bao la kwanza  klabu yake ya Hull dakika ya nne tu ya mchezo huo baada ya kazi nzuri ya Alex Bruce.
David Meyler katika dakika ya 13 aliandika bao la pili kufuatia makosa ya mabeki wa Man United, lakini mashetani wekundu walikuja juu na katika dakika ya 25  Chris Smalling alifunga bao zuri kwa njia ya kichwa akimalizia kazi nzuri ya Wayne Mark Rooney.
Dakika moja tu baadaye, Rooney alitinga tena nyavuni na kusawazisha bao la pili.
Man United walimaliza kazi katika dakika ya 646 baada ya James Chester kujifunga mwenyewe akiunganisha mpira wa krosi wa Ashley Young  na kumpa ushindi wa bure David Moyes.
Time to celebrate: Man United have moved to within five points of leaders Liverpool having played a game more 
Muda wa shangwe: Man United wamesogea mbele baada ya ushindi wa leo
All white on the night: The own goal came from Ashley Young's cross midway through the second half Tumemaliza?: Wachezaji wa Man United wakishangilia bao lao la tatu ambalo Hull walijifunga kutokana na krosi ya Ashley Young
Head in hands: James Chester turns from hero to zero after scoring the decisive goal in the second half  
Mikoni kichwani, umeharibu baba!: James Chester akijifunga bao na kuizamisha Hull leo dhidi ya Man United
 
David Moyes amepumua
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni baina ya Manchester City dhidi ya Liverpool katika dimba la Etihad, na mpaka dakika ya 30, Majogoo wako mbele kwa bao moja lilolofungwa na Philippe Coutinho
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA; 
England: Premier League 
 
   
Finished
 
 Hull
2-3
Manchester United 
 
(2-2)        
   
Finished
 
 Tottenham
1-1
West Bromwich Albion 
 
(1-1)        
   
Finished
 
 Norwich
1-2
Fulham 
 
(1-1)        
   
Finished
 
 Newcastle United
5-1
Stoke 
 
(1-1)        
   
Finished
 
 West Ham
1-3
Arsenal 
 
(0-0)        
   
Finished
 
 Everton
0-1
Sunderland 
 
(0-1)        
   
Finished
 
 Chelsea
1-0
Swansea 
 
(1-0)        
   
Finished
 
 Cardiff
0-3
Southampton 
 
(0-3)        
   
Finished
 
 Aston Villa
0-1
Crystal Palace 
 
(0-0)        
   
30′
 
 Manchester City
0-1
Liverpool