TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, April 17, 2013

Dar es Salaam City College Wasaidia Damu Salama katika kitengo cha Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki.



 Mwanafunzi wa Stashahada ya Uhandishi wa Habari, John Oscar Mwagambo,(kushoto) ni Mtunza Kumbukumbu wa Mpango wa Taifa Damu Salama Salutary Mangosongo
 Afisa Uhamasiashaji Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki ,Desteria Nanyanga(kulia) na Fatma Mlingi (2)
 Mtoa Damu wa Mpango wa Taifa Damu Salama, akimtoa Mahmod Rashid
 Mtaalamu wa  Damu wa Mpango wa Taifa Damu Salama, akimtoa maelekezo kwa Wanafunzi wa Dar City College
 Mtoa Damu wa Mpango wa Taifa Damu Salama, akimtoa Mahmod Rashid
 Afisa Uhamasiashaji Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki ,Desteria Nanyanga(kulia) na Frank Ulede
 Wanafunzi wa Chuo hicho wakisubiri kupima Afya zao kabla ya kuchangia Damu
,
 Mtunza Kumbukumbu Mpango wa Taifa Damu Salama, Salutary Mangosongo akikagua jambo wakati wa zoezi la kuchangia Damu kutoka kwa Chuo cha Uhandishi wa Habari na Utawala, cha Dar es Salaam City College.
 Wanafunzi wakifuatilia kwa makini Semina iliyofanyika Chuoni hapo kabla ya Zoezi ya Uchangiaji Damu
 Wanafunzi wakifuatilia kwa makini Semina iliyofanyika Chuoni hapo kabla ya Zoezi ya Uchangiaji Damu
Wanafunzi wakifuatilia kwa makini Semina iliyofanyika Chuoni hapo kabla ya Zoezi ya Uchangiaji Damu(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment