TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, April 14, 2013

Walio timuliwa na wengine kuondoka kwa kukosa Vigezo vya kushiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13

 Miss Utalii Geita (ameondoka kwa ajili ya matatizo ya Familia na anatarajia kujiunga kesho kambini)
Miss Utalii Iringa(amefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu)
Miss Utalii Kigoma(amefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu)
Miss Utalii Kilimanjaro(ameitwa na Familia yake )
Miss Utalii Lindi(amekwenda kufanya mitihani).
Miss Utalii Mtwara(Ameondoka kwa ajili ya mitihani)
Miss Utalii Pwani(ameondoka kutokana na kukosa sifa)
Miss Utalii Simiyu(ameondoka kwa matatizo ya kifamilia)
Miss Utalii Singida(ameaga kwenda kufanya mitihani)
Miss Utalii Tabora(kaondoka Bila kuaga)
Miss Utalii Tanga(ameaga kwenda kufanya mitihani).
Miss Utalii Vyuo Vikuu(ameaga kwenda kufanya mitihani).


No comments:

Post a Comment