TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, April 17, 2013

HAPPY BIRTYDAY MISS TOURISM MARA-GLORIA JOHN

Miss Utalii Zanzibaer

Miss Utalii Shinyanga 2012/13-
Miss Utalii Dar es Salaam two.

 Washiriki Miss Utalii Tanzania wakijiandaa kukata Keki Punde wakati wa Hafla ya Kuzaliwa Mwenzao Gloria John, ambaye kazaliwa tarehe kama ya Leo.
 Mtoto Gloria John ambaye kasimama, Miss Utalii Tanzania Mara 2012/13, katika maandalizi ya hafla ya kusherehekea siku yake ya Kuzaliwa.
 Miss Utalii Shinyanga katika Pozi, Muda Mfupi akijiandaa kutinga katika Ukumbi kwa ajili ya Hafla ya kukata keki ya Kuzaliwa kwa Mwezao Gloria John.
 Miss Utalii Dodoma katika Pozi, Muda Mfupi akijiandaa kutinga katika Ukumbi kwa ajili ya Hafla ya kukata keki ya Kuzaliwa kwa Mwezao Gloria John. 
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment