TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 19, 2013

MARIAM SHWAHIBU MISS DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM 2013

Washiriki wa Shindano la Mr & Miss DSJ 2013 wakiwa katika Pozi
Miss DSJ 2nd  akijibu moja ya maswali wakati wa Onyesho
Miss Pesonality 2013 Mary Albert, akijibu Swali
Majaji wa Shindano la Mr. & Miss DSJ  2013 -wakiongozwa na Taji Liundi(kushoto)
Washiiki wa Shindano la Mr. & Miss Dar es Salaam School Of Journalism wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa Onyesho katika Ukumbi wa Belinda Beach Resort uliopo Mbezi Beach Dar es Salaam. Washindi watawakilisha Chuo hicho katika fainali za Balozi wa Demokrasia Tanzania, mashindano ambayo yanahusisha Washindi wa Vyuo Vikuu Vyote Tanzania. Tamasha ambalo linatarajia kufanyika mwezi wa sita.( Picha Kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment