TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 19, 2013

Sherehe ya kuzaliwa Gloria John, Miss Utalii Mara yakonga nyoyo za Warembo Wenzake, ni katika Hoteli ya Kimataifa ya Ikondolelo

Picha Zote Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakati wa Siki ya Kuzaliwa Miss Utalii Mara Gloria John
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakiwa wamembeba mtoto  Gloria John, Miss Utalii Mara
Miss Utalii Mara akibebwa na Miss Utalii Geita
Miss Utalii Mara akibebwa na Miss Utalii Geita
Miss Utalii Mara akibebwa na Miss Utalii Njombe
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Zanzibar
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Katavi
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Katavi
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Katavi
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Katavi
Miss Utalii Mara na Miss Utalii   Manyara
Miss Utalii Morogoro na Miss Utalii Kagera
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Kagera
Miss Utalii Mara na Miss Utalii   Mwanza
Miss Utalii Mara na Miss Utalii Arusha
Miss Utalii Mara
 warembo wa Miss Utalii katika usiku wa 17/4/2013 walijaza ukumbiwa Ikondolelo wakati wa Hafla ya kumpongeza mwenzao Gloria John ambaye alikuwa akitimiza Miaka 20, shangwe vigelegele na vifijo vilisikika kila kona kutokana na Hafla hiyo ambayo washiriki hao walitumia kwa ajili ya kupata burudani ikiwamo kukata keki, kucheza Muziki, Chini ya Mc Kipaji Miss Utalii Mwanza,
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment