TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, September 14, 2013

Jokate ataja sababu nne zinazowafanya wanaume WAMMEZEE MATE na kumtongoza kila siku

Posted: 13 Sep 2013 10:39 AM PDT
  Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar.Habari zaidi zitawajia baadaye.
Posted: 13 Sep 2013 01:02 AM PDT
MTUHUMIWA, Manfred Adam anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua katika hali isiyotarajiwa amelimwaga kojo katika Mahakama ya Mwanzo na kuleta vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa meza ya Mahakama ya Mwanzo ya Mazimbu mkoani  Morogoro mwanzoni mwa wiki hii.  Katika vurugu hizo zilizolazimisha shughuli za mahakama kusimama kwa muda wa saa mbili, askari wawili waliokuwepo eneo la tukio
Posted: 13 Sep 2013 12:43 AM PDT
 MREMBO anayefanya vizuri katika mambo mengi nchini, Jokate Urban Mwegelo (pichani) ametaja sababu nne zinazowafanya wanaume kumzimikia, akiwemo nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.  Akiandika katika mtandao wake wa Kidoti Life Style, Jokate, mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2006, alizitaja sababu hizo kuwa ni kujiamini, kujitegemea, kupendeza na tabasamu muda wote.  “Kujiamini
Posted: 13 Sep 2013 12:25 AM PDT
MDOSI au Kanjibai aliyefahamika kwa jina moja la Milah ambaye ni bosi wa kampuni moja ya ujenzi yenye makao yake Mwenge jijini Dar alinaswa chooni akiwa na mfanyakazi wake, John Carlos ‘Shabani’ (watu walimpachika jina la Shabani kutokana na Kanjibai wa kwenye Komedi) ikidaiwa walikuwa katika mazingira ya ulawiti... Ishu hiyo nzito ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo wawili hao
Posted: 12 Sep 2013 11:50 PM PDT
WAKATI viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwasili mjini Dodoma kuungana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, katika rufaa ya kupinga ubunge wake inayoanza kusikilizwa leo, mbunge huyo amekataa uamuzi CCM kutaka kuifuta kesi hiyo. Juzi CCM kupitia kwa wakili wake, Godfrey Wasonga, iliwasilisha barua katika Mahakama ya Rufaa Dodoma na nakala kwa Lissu ikiomba mahakama hiyo
Posted: 12 Sep 2013 11:38 PM PDT
MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia.  Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Paulo Kimaro alidai mahakamani kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 9 mwaka huu nyumbani kwa mtuhumiwa huyo alipombaka mtoto huyo, mwanafunzi wa darasa la saba.  Alidai siku hiyo mke wake alitoka na
Posted: 12 Sep 2013 03:37 PM PDT
MWENYEKITI Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wameingia katika mzozo mzito kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi. Katika mzozo huo, Mengi amemshambulia Waziri Muhongo kwa kumwita ni mwongo, mpotoshaji na mwenye lengo la kuwatoa Watanzania kwenye hoja ya msingi ya rasilimali yao ya gesi. Mengi alitoa kauli hiyo
Posted: 12 Sep 2013 01:58 PM PDT
Kila kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa hizo. Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo

No comments:

Post a Comment