TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, September 14, 2013

Serikali yakata mawasiliano na WAPINZANI...Yaapa kutowaalika tena IKULU


Posted: 14 Sep 2013 02:32 AM PDT
  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira, amesema wapinzani wasitarajie tena kukaribishwa Ikulu, kutokana na msimamo wao wa kususia mjadala wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma hivi karibuni, kwa majadiliano mengine. Waziri Wassira, alitoa kauli hiyo siku moja baada ya wasomi,
Posted: 14 Sep 2013 01:14 AM PDT
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka 
Posted: 13 Sep 2013 11:32 PM PDT
Msanii  wa  Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja  jasho  la  furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama.   Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Sinza Palestina ambapo Recho alienda kupima katika Hospitali ya Amen iliyopo Sinza ambapo kabla hajapata majibu hayo alikuwa akihaha huku na kule kutokana na wasiwasi.   Baada ya vipimo hivyo, Recho alipewa 
Posted: 13 Sep 2013 11:14 PM PDT
MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.   Kwa mujibu wa habari za kipolisi, mmiliki wa simu hiyo  ni mwanamme aliyejulikana kwa jina la Mohammed Marjey, mkazi wa Dar.   Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha
Posted: 13 Sep 2013 10:28 PM PDT
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.  Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu
Posted: 13 Sep 2013 11:58 AM PDT
WENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Iringa.   Shilole alipanda jukwaani akiwa anacheza wimbo wake wa ‘
Posted: 14 Sep 2013 01:14 AM PDT
  So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:   Picha hiyo aliiandikia maneno haya: Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!
Posted: 14 Sep 2013 01:14 AM PDT
Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba 

No comments:

Post a Comment