TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 22, 2016

VIJANA WANUFAIKA NA PROGRAMU YA KUKUZA AJIRA ZENYE STAHA (YEID)

MPALULEBLOGS:Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakiwa katika picha ya pamoja jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).Picha na Frank Shija, WHUSM

No comments:

Post a Comment