TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, April 23, 2016

WABUNGE WA EALA-TANZANIA WATEMBEELA CLOUDS MEDIA GROUP NA KUPEWA UJUMBE MZITO

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Bw. Ruge Mutahaba, (kulia), akitoa maelezo ya uendeshaji wa kampuni hiyo, wakati wabunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA-Tanzania), walipotembelea studio za Clouds radio/TV Mikocheni jijini Dar es Salaam Aprili 22, 2016. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa wabunge hao Mh. Charles Makongoro Nyerere, Mh. Nderaikindo Kessy, na Mh. Shy-Rose Bhanji.
 Mchekeshaji maarufu Bishanga Bashaija, (kulia), akiwa katika kipindi cha Leo Tena aprili 22, 2016

 Mwenyekiti akizungumza na uongozi wa Clouds Media Group, chini ya Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji, Bw. Ruge Mutahaba, (watatu kulia), Mkurugenzi wa Biashara na Maendeleo, wa Clouds Media Group, Bi. Sheba Kusaga, na Afisa Uhusiano wa Clouds Media Group, Bw. Simon Simalenga


BlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

No comments:

Post a Comment