============================================
MATUKIO YA BUNGE LEO.
==================================================
Serikali yaadhimisha siku ya Afrika kwa kumuenzi nguli mpigania uhuru wa Tanganyika Hayati Kaluta Amri Abeid Kaluta
======================================================
Tanzania yapiga hatua kubwa katika matumizi ya huduma za mitandao
JUMLA YA MAKAMPUNI 27 YAJITOKEZA KUOMBA LESENI ZA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI WAANGA
===============================================MACHINGA BADO KERO KUBWA NDANI YA JIJI LA MWANZA
Contractors Registration Board Annual Meeting set for 26th and 27th of May
MFUMO WA USIMAMIZI WA NYARAKA KIDIJITI KUONGEZA KASI YA UTENDAJI SERIKALINI.
RC DAR, MGENI RASMI MAADHIMISHO YA HEDHI SALAMA.
Mratibu
wa Maji, Afya na Usafiri wa Mazingira kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, Theresia Kuiwite (kulia). akizungumza na waandishi wa
habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya siku ya hedhi
salama. Wengine ni Mkurugenzi wa Programu za Afya Mashuleni kutoka
Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Orsolina
Tolage (kushoto) na Msemaji mwakilishi wa Wadau wote wa Mapendeleo
waliochangia maadhimisho hayo, Clare Haule.

Mkurugenzi
wa Programu za Afya Mashuleni kutoka Waziri wa Afya na Maendeleo ya
Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Orsolina Tolage (katikati), akizungumza
na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya
siku ya hedhi salama. Kulia ni Msemaji mwakilishi wa Wadau wote wa
Mapendeleo waliochangia maadhimisho hayo, Clare Haule na Mratibu wa
Maji, Afya na Usafiri wa Mazingira kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Theresia Kuiwite.







Waziri
Mkuu, Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame
kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia
ambako walihudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei
24, 2016, Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia kwenye
ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka Mei 24, 2016. Majaliwa alikwenda
Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye Mkutano wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika- ADB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Mlungushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo
Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016.
Baadhi
ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo
Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016.
Baadhi
ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo
Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mwandishi maalum-Geneva.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika – ADB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka
Zambia , Mei 24, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais
wa Nigeria, Prof. Yemi Osinbojo, Rais wa Chad, Idriss Debyo, Rais wa
Zambia, Edgar Lungu na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos Agostino do
Rosario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)















Katibu
mkuu wizara ya habari,utamduni,sanaa na michezo Prof Elisante Ole
Gabriel akizungumza jambo wakati menejimenti ya wizara hiyo ilipofanya
ziara ili kujifunza mfumo wa usimamizi wa nyaraka kidijitali unavyofanya
kazi katika ofisi za wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiliano leo
jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Faustin Kamuzora na Naibu katibu
mkuu wizara ya habari,utamaduni,sanaa na michezo Bi.Nuru Khalfan Mrisho.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Faustin Kamuzora
akieleza jambo kwa menejiment kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo walipofika ofisini hapo ili kujifunza mfumo wa usimamizi wa
nyaraka kidijitali.
Watumishi
pamoja na Menejimenti kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Kaimu mkuu wa
masijala ya wazi Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Bi.Bupe
Munisi(wa kwanza mwenye nguo ya njano) jinsi mfumo wa usimamizi wa
nyaraka kidijiti(DMIS) unavyofanya kazi .
Menejimenti
ya Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika ziara
mafunzo ya mfumo wa usimamizi wa nyaraka kidijitali unavyofanya kazi
katika ofisi za wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiliano.
No comments:
Post a Comment