======================================== 
Zantel kuwekeza dola milioni 10 kuimarisha huduma za mawasiliano nchini pamoja na kusambaza mtandao wa 4G
=========================================== 
NHIF TANGA YATOA ELIMU KWA WARATIBU WA CHIF MKOA WA TANGA.
==================================================== 
RC WA KILIMANJARO SAID MECKY SADICK AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZKINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)
==================================================== 
Mwandishi wa Global Makongoro Oging' Afariki, Kuzikwa Rorya
========================================== 
Vijana wawili wajasiriamali wawezeshwa vitendea kazi baada ya kuudhuria mafunzo yaliyoandaliwa na Airtel FURSA
================================================= 
Mkutano Mkuu Wa Mwaka wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya wafanyika mkoani Shinyanga
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: BRN Iliniwezesha Kuongeza Ufanisi, Uwajibikaji na Matokeo Katika Utekelezaji wa Miradi ya Serikali
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu na Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo. 
============================================== 
TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME
========================================== 
WEMA SEPETU AZINDUA HUDUMA YAKE YA KISASA IITWAYO WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION JIJINI DAR LEO
 Mwanadada
 Wema Sepetu akifafanua jambo kwa  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na 
Michezo Mh,Nape Nnauye kabla ya uzinduzi wa huduma hiyo kufanyika mbele 
ya waandishi wa habari,katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar. 
 Waziri
 wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh,Nape Nnauye akizungumza kabla 
ya kuzindua mfumo wa kisasa kabisa wa msanii wa filamu hapa nchini,WEMA 
SEPETU MOBILE APPLICATION mbele ya waandishi wa habari,katika hotel ya 
Hyatt Regency jijini Dar

 Waziri
 wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh,Nape Nnauye akimpongeza 
mwanadada Wema Sepetu kwa kubuni mfumo ambao utaweza kumuunganisha Wema 
na jamii Duniani kote na pia utamsaidia kumuingizia kipato na kuweza 
kuisaidia jamii inayomzunguka kwa namna moja ama nyingine.
Mtaalamu wa huduma za mitandao kutoka Push Mobile,Haji Yussuph akifafanua jambo kuhusiana na huduma hiyo ya WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION
Mtaalamu wa huduma za mitandao kutoka Push Mobile,Haji Yussuph akifafanua jambo kuhusiana na huduma hiyo ya WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION






























No comments:
Post a Comment