WATUMISHI WA UMMA 210 WAIDHINISHIWA MIKOPO YA NYUMBA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.3
=======================================
RAIS DKT MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Charles Kitwanga, Waziri Mkuu atoa ufafanuzi wa hatua hiyo
SERIKALI YAOMBWA KUPITISHA FEDHA ZA MAENDELEO YA KILIMO KATIKA BENKI YA TADB.
=======================================
TIKETI ZA BAHATI NASIBU YA TAIFA ZAANZA KUUZWA
==========================================
MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI KUFUNGULIWA MEI 24 MWAKA HUU
SUKARI "YAKAUKA" MANISPAA YA KIGOMA-UJIJI, HATA ILE YA KILO SH. ELFU 5,000 HAKUNA
![]() |
| Mzunguko (Roundabout) na Stesheni kuu ya reli Kigoma. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said) |
![]() |
| Mwalo wa Kibirizi |
===============================================
NMB yasaidia madawati 50 katika Shule ya Msingi Majimatitu.
=======================================================
MUFTI WA TANZANIA ALAANI KITENDO CHA MAUAJI YALIYOTOKEA MKOANI MWANZA.
WACHAGA WAKUMBUSHWA KUISAPOTI TIMU YAO YA KILIMANJARO INAYOSHIRIKI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA
========================================================
MANDHARI ZA KUVUTIA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE
================================================
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi
akisoma Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 leo Bungeni
mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Mhe. Edwin
Amandus Ngonyani (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Alphonce
Kolimba Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Eng. Ramo Matala Makani
(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani Saidi Jafo Bungeni mjini Dodoma 21
Mei, 2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu,
Mhe. Jenista Joackim Mhagama (kushoto), Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles John Mwijage (katikati) pamoja na Naibu Waziri,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan
Alphonce Kolimba wakiteta jambo leo Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Mhe. Edwin
Amandus Ngonyani (kulia) pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Maji na
Umwagiliaji, Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe wakijadiliana jambo leo
Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
Mbunge
wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na
Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016 kwa
ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi bungeni hapo.


Mwenyekiti
wa kampuni ya Gidani ambayo ni kampuni mama ya Murhandziwa Profesa
Bongani Aug Khumalo,akitoa maelekezo ya mchezo huo kwa waandfishi wa
habari na wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kuuza tiketi,
(kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini
Abbas Tarimba na katikati ni Meneja mradi wa Kampuni hiyo,Brett Smith.
Mkurugenzi
Mkuu wa bodi ya Michezo ya Michezo ya kubahatisha nchini Abbas
Tarimba akijaribu mashine za michezo zinavyofanya kazi
Baadhi
ya wafanyakazi wa kampuni ya Gidani wakisikiza kwa makini maelezo
kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Michezo ya kubahatisha,Abbas Tarimba
(hayuko pichani) muda mfupi baada ya hafla ya uzinduzi wa kuuza tiketi.








Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.
Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia)
akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke,
Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa
Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.
Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya
dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi
Majimatitu.
Mwenyekiti
wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akimkabidhi Mkuu
Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) dawati moja kati ya
madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi.
Kikundi
cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni
waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa
shule hiyo.
















No comments:
Post a Comment