Hamisi
Maduka Kaimu mwenyekiti wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani
Tabora akitoa maoni yake mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha
Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 ambaye alisistiza ulipaji wa fidia za
Ardhi uzingatie uhalisia wa thamani ya eneo husika.
Abdallah
Moto mkazi wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani Tabora akitoa
maoni yake kwa Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya
Ardhi ya 1995 kuhusu suala la kupewa kipaumbele utoaji wa hati miliki
kwa wanavijiji.
Shakira
Masudi mkazi wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani Tabora akitoa
maoni yake mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya
Taifa ya Ardhi ya 1995 ambaye alitaka Sera itambue wamiliki wa Ardhi wa
maeneo wa muda mrefu katika kutoa Hati.
Mwl.
Hadija Nyembo mkuu wa wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora akisisitiza jambo
mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi
ya 1995 wakati akitoa maoni yake kuhusu Umiliki wa Ardhi mkoani Tabora.
Hanifa
Selengu Mkuu wa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora akisisitiza jambo
mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi
ya 1995 wakati akitoa maoni yake kuhusu Umiliki wa Ardhi mkoani Tabora.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ardhi.HOSPITALI YA MUHIMBILI YAFUNA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MATATIZO YA MOYO JIJINI DAR ES SALAAMLEO.

Naibu
waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Khamis Kigwangala akizungumza hatika hafla ya kufunga kambi ya
madakitari wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar waliokuwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili, haflaa hiyo imefanyika jijini Dar es
Salaam na kuwaaga madaktari wa nchi hizo.





Mtangazaji
wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi. Miriam Chisoro (kushoto)
akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) wakati
wakijadili mada kuhusu Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma ofisini
kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi
wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akisisitiza umuhimu wa utekelezaji
wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo
na Mtangazaji wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro
(kushoto) ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.









Mwenyekiti
wa Mbeya City fc, Mussa Mapunda amelipongeza shirikisho la soka
Tanzania TFF kwa hatua yake ya kuipoka pointi 3 timu ya Azam Fc na
kuziweka kwa timu yake kufutia makosa yaliyofanywa na timu hiyo ya
Chamazi Complex kumchezesha mchezaji Erasto Nyoni aliyekuwa na zuio la
kadi tatu za njano.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
Japan Mhe,Mathias M.Chikawe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na
Rais,leo.





No comments:
Post a Comment